Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] coco babe ni kivuruge yaani ushabadilisha mada kabisa mm ndio mana nakupenda

Jamani Missy Shunie unajua jina yako hii iwapa ukichaa vijana wengi humu.. Missy nimekushusha miaka kibao🙂 u Missy Shunie

Naye kaibadilisha nami nimemsabahi tu..😀😀😀
Ili turudi kwa mada.. nilikuwa nausoma uzi kwa raha.. endeleeni kutupa uondo jamani..
 
Umedoda siku hizi humu
Unatafuta kiki kupitia Cocochanel

Hata kufikiria nje ya boksi hujawahi wezs.. ila umesoma mwanzo mwisho.. ulifikiri nitaandika hayo ya waganga urudi tena kuwanga.. ukifikiro utasoma pale pa wanatoa huduma bure... eeeeh

U too low low loooooooow
Embu pita hukoooo.. ukitaka lia lia kwa kumalizwa.. eeeeeh
 
Kuna aliyembikiri mtoto wake ili nyota yake ing’ae na iling’aa kweli Afrika nzima lakini sasa inaanza kufifia. Ninadhani alikiuka masharti ya mganga amefanya vurugu nyingi mpaka kupora wake za watu.
Dear hii dunia ngumu sana sometimes naona bora kula matembele ya halal kuliko nyama za haram znatesa mno, huko Arusha kuna jamaa aliwah kubikiri mwanae wa kumzaa na kumpa ujauzto ila akamforce yule mtt wa kike atafute bwana alale nae na kumsingizia mimba n ya huyo chalii, huez amin baada ya miez tsa bint kujifungua mtt copyright na chalii ila baba wa bint almchukua mjukuu na kumlea tena kwa mapenz na gharama nying, mshart ya mganga ilikuwa kla mwez yule ilkuwa n lazma kulala na baba ake na mama ake hakuwah kugundua.

Sasa mwsho wa siku yule bwana akamwambia bint yake kuwa mganga kabadlsha mashart anatakiwa amwingilie kinyume na maumbile hapo ndo alposhndwa akaandika waraka kanisan kuomba msaada maana alshanusurika kujiua hapend maisha hayo na hakubaliw kuwa na bwana mwingine pia hatakiw kuzaa mtt mwingine.

Kweli shetan hakup utajir wa bure bure.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Daah naona wameamua kuaibishana mtandaoni!..inaskitisha sana
Hii imekuwa kama fasion ya Bongo. Zamani ugomvi ulikuwa unaanzia nyumbani unahamia kwa majirani lakini siku hizi kipengele cha majirani kimeondolewa. Ni kwenye mtandao (duniani). Ni wengi nimeona wanafanya hili. Video mpaka za mapenzi ya kinyume cha maumbile zimevujishwa pale waliopendana walipokosana.
 
Umedoda siku hizi humu
Unatafuta kiki kupitia Cocochanel

Hata kufikiria nje ya boksi hujawahi wezs.. ila umesoma mwanzo mwisho.. ulifikiri nitaandika hayo ya waganga urudi tena kuwanga.. ukifikiro utasoma pale pa wanatoa huduma bure... eeeeh

U too low low loooooooow
Embu pita hukoooo.. ukitaka lia lia kwa kumalizwa.. eeeeeh
Rubbish
Hata sikuelewi
 
Hayo mambo yapo sana, huku mtaani kwetu kuna jamaa kamfanya mdogo wake zuzu, yeye anakula tu bata bila aibu.hivi Makonda hawezi Dili na hawa watu?
Serikali haiamini uchawi so kila mtu apambane na mzingo wake... Chief

Ukienda mahakamani ukiambiwa uonyeshe ushahidi wa kaka yake kumfanya zuzu mdogo wake utautoa?
 
Hawa wadada wa mjini ni wachawi hakuna mfano wakeee!!kuna bibi mmoja alikua mbagala kule nilikua nawaona mastaa km wote hivi enzi hizo...!!

Kuna mzee yuko tanga ndo walikohamia huoo sasa hivi!

Ukiwaona wanafanya dua si udambwidambwi basi jua wanatimiza makafara yao!!

Kibongo bongo hapa ushirikina ndo habari ya mjini
Huyu bibie nae mganga wake wa Tanga
 
Back
Top Bottom