Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

WADAU HABARI ZA MDA HUU, JE NAWEZA KUPATA MTU WA KUNIFUNDISHA KUTUMIA ADOBE PHOTOSHOP MWANZO MWISHO? AU MAMBO YA KUDIZAIDI VITU MBALIMBALI, KAMA VILE , COVER, WEBSITE, EDITTING PHOTO KWA UFASAHA KWA KUTUMIA PROGRAM YA ADOBE.. MAFUNZO YASIWE YA MDA MLEFU, AIDIA NINAYO. SIMU NAMBA 0785470222/0756854515
 
Achana na fikra za kuwa masikini..umasikini ni habari nyingine,usikie tu kwa jirani. Hata huo ushirikina chanzo chake ni umasikini..
Umaskini mmbaya hasa ukifika kwenye umri 35 - 55 ukiona hakisomi unafanya lolote! We haya maisha tupishane tu njiani! Kuna manyang'au afu asubuhi mnacheka nae ni rafiki ila anakutoa kafara anytime
 
Wabongo bana eti kupakaa tujivu huto kushika kijikuku na tuyai tuwili ndio uchawi kuroga........alaaa!!
Hebu tumtafute Mshana Jr atueleze vizuri kama pale kuna ulozi au maigizo. Ukiangalia vizuri utajua hakuna lolote kwenye hiyo klip. Kwanza Mganga aliyeko kilingeni hana swaga wala mzuka wa kiganga. Pili, mafukizo, mafusho na vibuyu haviendani na kile kinachofanyika. Kama ni kuaguliwa basi mteja alikuwa anaibiwa, nampa pooooole sana
 
hivi ni kwanini eti
Mafundisho ya kiimani ndiyo yanachangia, mfano Quaran inafundisha kuwa kuna majini wema na majini wabaya, kwenye UKRISTO majini yote ni mapepo tu, ni "roho zidanganyazo".

Ushirikina unatumia sana hizo "roho zidanganyazo", roho hizi zinaweza kujifanya rafiki kwako na kukuahidi kukupa utajiri. Na kweli utajiri utaupata sana lakini mwisho wa siku yanakukuta ya kukuta. Waislamu wao wanazikubali hizi "roho zidanganyazo" zinazojifanya ni rafiki(majini mema), na ndiyo maana wengi huwa wanaenda kwa waganga ili kuzitafuta hizi "roho".
 
Why unaishia nje ya geti?hebu rafiki tupe
Hahaha.. Watu mnapenda ubuyu nitafute nikupeleke kisiri siri kwa ndugu yangu ndiyo mambo yake haya

Ana gorofa la gorofa 3 kwenda juu, gorofa ya 3 juu mwisho lina gate la kuingia juu, humu ndani kuna room kubwa ina mtu yupo huko mbaba mweupe ni bonge la mtu n mnene 24hrs anakula kiyoyozi taa haizimwi, 24hrs amekaa kwenye sofa, hiyo sofa Tanzania nzima huwezi kuipata

Siku moja jamaa akaniachia nyumba yeye na familia yake na watoto wakaenda hollyday, ndani ya nyumba ilipo fika usiku naenda kulala nikajisahau nikazima taa zote za ndani kumbe hairuhusiwi kuzima taa upande wa juu nikaskia sauti za watoto wachanga wakilia, hadi nilimpigia sim kuhusu hiyo ishu ananiambia nisizime taa upande wa juu...

Humu ndani kuingia utadhani upo peponi...
 
Hatarii huyo ndgu yko ni nyokoooo,mzimu wake unakula kiyoyozi
 
Nenda jukwaa la technology au jukwaa la elimu. Hapa tupo busy kumchambua huyu bilionea wa chuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…