King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
- #621
Mmmhhh huyo jamaa inawezekana alimrestisha in PC.Ibra alishafiwa na dada yke kitambo nae sijui ilikua kafara au ya mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhh huyo jamaa inawezekana alimrestisha in PC.Ibra alishafiwa na dada yke kitambo nae sijui ilikua kafara au ya mungu
Askofu yupiSi hata Askofu (R.I.P) alikuwa na tuhuma za ufuska ...
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilienda kwenye Uzi wa Venus aliokua anatafuta mume..nikaona gilesi amemtakia kheri
Lahaulah!! Mwisho wa picha kumbe bwana mwenyewe ndie yule wake
WADAU HABARI ZA MDA HUU, JE NAWEZA KUPATA MTU WA KUNIFUNDISHA KUTUMIA ADOBE PHOTOSHOP MWANZO MWISHO? AU MAMBO YA KUDIZAIDI VITU MBALIMBALI, KAMA VILE , COVER, WEBSITE, EDITTING PHOTO KWA UFASAHA KWA KUTUMIA PROGRAM YA ADOBE.. MAFUNZO YASIWE YA MDA MLEFU, AIDIA NINAYO. SIMU NAMBA 0785470222/0756854515Okeee
Inawezekana sana ila mama yke mzazi namjua anakaa kijenge sijamuona kitamboMmmhhh huyo jamaa inawezekana alimrestisha in PC.
Umaskini mmbaya hasa ukifika kwenye umri 35 - 55 ukiona hakisomi unafanya lolote! We haya maisha tupishane tu njiani! Kuna manyang'au afu asubuhi mnacheka nae ni rafiki ila anakutoa kafara anytimeAchana na fikra za kuwa masikini..umasikini ni habari nyingine,usikie tu kwa jirani. Hata huo ushirikina chanzo chake ni umasikini..
Haujamuona kwasababu wanasema amekuwa "ZEZETA" ametolewa kafara na Mwana Appolo.Inawezekana sana ila mama yke mzazi namjua anakaa kijenge sijamuona kitambo
VIDEO SIIMEWEKWA HAPO JUU HUIONI?hii mbona kwa Nakaaya sioni duh? kweli instagram kitambo sijaingia kabisa ila kwa huu ubuyu nimejikuta nahaha kuusaka, eee kazi kwelikweli[emoji23]
Baba yao kina Shangwe, Ruth na Imma KawalaAskofu yupi
Ngoja niulize kwa mtu wke wa karibuHaujamuona kwasababu wanasema amekuwa "ZEZETA" ametolewa kafara na Mwana Appolo.
Namjua huyo mzee askofu alikua anakaa hpo jirani na mount meru hospBaba yao kina Shangwe, Ruth na Imma Kawala
Kumbesi ana mke na watoto kabisa
Duuu! Sikudhania kama hawa watu wanajulikana kiasi hiki.Baba yao kina Shangwe, Ruth na Imma Kawala
Hahaa aisee.Namjua huyo mzee askofu alikua anakaa hpo jirani na mount meru hosp
Hebu tumtafute Mshana Jr atueleze vizuri kama pale kuna ulozi au maigizo. Ukiangalia vizuri utajua hakuna lolote kwenye hiyo klip. Kwanza Mganga aliyeko kilingeni hana swaga wala mzuka wa kiganga. Pili, mafukizo, mafusho na vibuyu haviendani na kile kinachofanyika. Kama ni kuaguliwa basi mteja alikuwa anaibiwa, nampa pooooole sanaWabongo bana eti kupakaa tujivu huto kushika kijikuku na tuyai tuwili ndio uchawi kuroga........alaaa!!
Mafundisho ya kiimani ndiyo yanachangia, mfano Quaran inafundisha kuwa kuna majini wema na majini wabaya, kwenye UKRISTO majini yote ni mapepo tu, ni "roho zidanganyazo".hivi ni kwanini eti
Hahaha.. Watu mnapenda ubuyu nitafute nikupeleke kisiri siri kwa ndugu yangu ndiyo mambo yake hayaWhy unaishia nje ya geti?hebu rafiki tupe
Hatarii huyo ndgu yko ni nyokoooo,mzimu wake unakula kiyoyoziHahaha.. Watu mnapenda ubuyu nitafute nikupeleke kisiri siri kwa ndugu yangu ndiyo mambo yake haya
Ana gorofa la gorofa 3 kwenda juu, gorofa ya 3 juu mwisho lina gate la kuingia juu, humu ndani kuna room kubwa ina mtu yupo huko mbaba mweupe ni bonge la mtu n mnene 24hrs anakula kiyoyozi taa haizimwi, 24hrs amekaa kwenye sofa, hiyo sofa Tanzania nzima huwezi kuipata
Siku moja jamaa akaniachia nyumba yeye na familia yake na watoto wakaenda hollyday, ndani ya nyumba ilipo fika usiku naenda kulala nikajisahau nikazima taa zote za ndani kumbe hairuhusiwi kuzima taa upande wa juu nikaskia sauti za watoto wachanga wakilia, hadi nilimpigia sim kuhusu hiyo ishu ananiambia nisizime taa upande wa juu...
Humu ndani kuingia utadhani upo peponi...
Nenda jukwaa la technology au jukwaa la elimu. Hapa tupo busy kumchambua huyu bilionea wa chugaWADAU HABARI ZA MDA HUU, JE NAWEZA KUPATA MTU WA KUNIFUNDISHA KUTUMIA ADOBE PHOTOSHOP MWANZO MWISHO? AU MAMBO YA KUDIZAIDI VITU MBALIMBALI, KAMA VILE , COVER, WEBSITE, EDITTING PHOTO KWA UFASAHA KWA KUTUMIA PROGRAM YA ADOBE.. MAFUNZO YASIWE YA MDA MLEFU, AIDIA NINAYO. SIMU NAMBA 0785470222/0756854515