Hakuna uchawi bhaana Duniani,huwa sihangaiki na vitu vya kufikirika. Bahati nzuri najua uzuri wa kuwa na hela,na ubaya wa kutokuwa nazo. Nimekulia familia duni,nikapata hela nyingi nikiwa kijana na zikakata zote kabisaa na zikarejea taratibu kwa muda wa miaka 16. Na zimerejea bila kupita kwa mganga. Yaani kwa jinsi nnavyojitambua,haiwezi kutokea ktk maisha yangu nikaenda kwa mganga akanifanye me fursa! Kwa hiyo siogopi mkuu,we fanya hiyo kazi..hata ukitaka nauli na vocha za kuanzia we niambie tu. Ila tu usinifanye fursa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]