Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
duh asee....hapo nimeelewaMafundisho ya kiimani ndiyo yanachangia, mfano Quaran inafundisha kuwa kuna majini wema na majini wabaya, kwenye UKRISTO majini yote ni mapepo tu, ni "roho zidanganyazo".
Ushirikina unatumia sana hizo "roho zidanganyazo", roho hizi zinaweza kujifanya rafiki kwako na kukuahidi kukupa utajiri. Na kweli utajiri utaupata sana lakini mwisho wa siku yanakukuta ya kukuta. Waislamu wao wanazikubali hizi "roho zidanganyazo" zinazojifanya ni rafiki(majini mema), na ndiyo maana wengi huwa wanaenda kwa waganga ili kuzitafuta hizi "roho".
Hpo ilikua hajamuoa huyo samira hata kujuana bdo alikua na mke wke baada ya hiyo issue mke akamkimbia
Hahahahaha...umenifurahisha sana Kiongozi. Kwa umaarufu alioupata kipindi cha nyuma Bongo fleva alipaswa kuwa anamili gari na sio usafiriMimi siko insta nimeona humu wanasema ndio kapost hiyo picha,huyo nakaya mwili kma lemutuz halafu unaendesha porte,heri angeendesha lori au canter
Ndomo anaonekana ni mtu wa ndumba sana na ile familia yao lazima wameajiri mganga wa familiaKama domo alivyokuwa anagawa pesa juzi
poa poa bozNenda jukwaa la technology au jukwaa la elimu. Hapa tupo busy kumchambua huyu bilionea wa chuga
Vichekesho huwa haviishi, huyu Wolper naye amejiweka kwenye kundi la viumbe wenye hofu na Mungu? Maajabu haya walahi.
Kwa fiksi kama hizi utawapata wajinga wajinga tu....Hahaha.. Watu mnapenda ubuyu nitafute nikupeleke kisiri siri kwa ndugu yangu ndiyo mambo yake haya
Ana gorofa la gorofa 3 kwenda juu, gorofa ya 3 juu mwisho lina gate la kuingia juu, humu ndani kuna room kubwa ina mtu yupo huko mbaba mweupe ni bonge la mtu n mnene 24hrs anakula kiyoyozi taa haizimwi, 24hrs amekaa kwenye sofa, hiyo sofa Tanzania nzima huwezi kuipata
Siku moja jamaa akaniachia nyumba yeye na familia yake na watoto wakaenda hollyday, ndani ya nyumba ilipo fika usiku naenda kulala nikajisahau nikazima taa zote za ndani kumbe hairuhusiwi kuzima taa upande wa juu nikaskia sauti za watoto wachanga wakilia, hadi nilimpigia sim kuhusu hiyo ishu ananiambia nisizime taa upande wa juu...
Humu ndani kuingia utadhani upo peponi...
Siku hizi mwanamke akikwambia ana hofu ya Mungu jiongeze mzee...Vichekesho huwa haviishi, huyu Wolper naye amejiweka kwenye kundi la viumbe wenye hofu na Mungu? Maajabu haya walahi.
Hahahahaha! Anauza arage?!Ana status gani huyo mkuu hapa town?
Au kuuza arage tu mjini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haka kajamaa hua kana fix sanaaaKwa fiksi kama hizi utawapata wajinga wajinga tu....
Yani wengine tunapigana ili Mama zetu waishi vizuri yeye ndio kwanza anampiga usinga bi mkubwa. Kweli ana roho ngumuJamaa ukimuona utadhani kapigania hayo maisha kumbe is in the expense of her mothers health duh kweli dunia hii usione watu tu
Mmhh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo yapo mbona sana!Hahaha.. Watu mnapenda ubuyu nitafute nikupeleke kisiri siri kwa ndugu yangu ndiyo mambo yake haya
Ana gorofa la gorofa 3 kwenda juu, gorofa ya 3 juu mwisho lina gate la kuingia juu, humu ndani kuna room kubwa ina mtu yupo huko mbaba mweupe ni bonge la mtu n mnene 24hrs anakula kiyoyozi taa haizimwi, 24hrs amekaa kwenye sofa, hiyo sofa Tanzania nzima huwezi kuipata
Siku moja jamaa akaniachia nyumba yeye na familia yake na watoto wakaenda hollyday, ndani ya nyumba ilipo fika usiku naenda kulala nikajisahau nikazima taa zote za ndani kumbe hairuhusiwi kuzima taa upande wa juu nikaskia sauti za watoto wachanga wakilia, hadi nilimpigia sim kuhusu hiyo ishu ananiambia nisizime taa upande wa juu...
Humu ndani kuingia utadhani upo peponi...
Huyu naye huwa hajui kuandika kama dada yake wa humu.
Hivi pm yako inasoma giza eeh?Hatarii huyo ndgu yko ni nyokoooo,mzimu wake unakula kiyoyozi
Hofu na mungu kwa muuzaji uliona wapiVichekesho huwa haviishi, huyu Wolper naye amejiweka kwenye kundi la viumbe wenye hofu na Mungu? Maajabu haya walahi.
Pumba na unga ndiyo chakula chake na majiHatarii huyo ndgu yko ni nyokoooo,mzimu wake unakula kiyoyozi