Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

36578730_1772210322871891_5933275806485708800_n.jpg

Wolper na dongo kwa nakaaya
36858933_248264062627240_2580473783739482112_n.jpg
 
Mafundisho ya kiimani ndiyo yanachangia, mfano Quaran inafundisha kuwa kuna majini wema na majini wabaya, kwenye UKRISTO majini yote ni mapepo tu, ni "roho zidanganyazo".

Ushirikina unatumia sana hizo "roho zidanganyazo", roho hizi zinaweza kujifanya rafiki kwako na kukuahidi kukupa utajiri. Na kweli utajiri utaupata sana lakini mwisho wa siku yanakukuta ya kukuta. Waislamu wao wanazikubali hizi "roho zidanganyazo" zinazojifanya ni rafiki(majini mema), na ndiyo maana wengi huwa wanaenda kwa waganga ili kuzitafuta hizi "roho".
duh asee....hapo nimeelewa
 
Hahaha.. Watu mnapenda ubuyu nitafute nikupeleke kisiri siri kwa ndugu yangu ndiyo mambo yake haya

Ana gorofa la gorofa 3 kwenda juu, gorofa ya 3 juu mwisho lina gate la kuingia juu, humu ndani kuna room kubwa ina mtu yupo huko mbaba mweupe ni bonge la mtu n mnene 24hrs anakula kiyoyozi taa haizimwi, 24hrs amekaa kwenye sofa, hiyo sofa Tanzania nzima huwezi kuipata

Siku moja jamaa akaniachia nyumba yeye na familia yake na watoto wakaenda hollyday, ndani ya nyumba ilipo fika usiku naenda kulala nikajisahau nikazima taa zote za ndani kumbe hairuhusiwi kuzima taa upande wa juu nikaskia sauti za watoto wachanga wakilia, hadi nilimpigia sim kuhusu hiyo ishu ananiambia nisizime taa upande wa juu...

Humu ndani kuingia utadhani upo peponi...
Kwa fiksi kama hizi utawapata wajinga wajinga tu....
 
Mmhh![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo yapo mbona sana!
 
Back
Top Bottom