Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Mkuu karibu sana mererani kwa wazee wa ukuta,hku siku hizi walinzi wa ukuta kila kukicha wanafumaniwa na wake za watu,kulinda ukuta kumewashinda
Hahaha, nawe karibu Katanga, huku ni colbat na copper ,hkn uchawi ni machine na vifaa tu , 'ukuta' wkt nasikia upigaji ndio umeongezeka huko ,according Prof Kikula
 
Yani wengine tunapigana ili Mama zetu waishi vizuri yeye ndio kwanza anampiga usinga bi mkubwa. Kweli ana roho ngumu
Huyo jamaa sura yake haiendani na ganzi iliyoko kwenye moyo,jamaa ana roho ngumu zaidi ya chuma cha pua.
 
Haya Anza basi na nauli na vocha mkuu. Nimeichukua tenda ila ukiwekwa kwneye chupa simo
 
Usiwaambie wazembe hao
 
kumbe uganga nao una formula hatua maalum kuzifuata bila kukosea.....hapo unatii kila kitu.....shetan anakutia hof umtii kwa kufuata kama kinyoz anavyotiiwa na mnyolewaji.....ni hatar hapo zimeachwa milion kazaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…