Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Duuuu Mafanikio yanasiri kubwa YESU nijalie pesa za kiasi za kunisababisha niishi vizuri na kwa amani
Nisiwe na misukkule kwenye nyumba yangu[emoji18]
YESU hampi mtu pesa mkuu, yeye mwenyewe alisema wazi kabisa kuwa Pesa ni mali ya Kaisari na siyo mali ya MUNGU. Hivyo kama unataka pesa utaipata kwa Kaisari, kwa YESU utapata mambo ya MUNGU. Huo ndiyo UKWELI ulivyo, wengi wanajidanganya, wanafikiri kwa YESU watapata pesa, hakuna pesa kwa YESU.

Sababu pesa siyo mali ya YESU, tena imeandikwa hivi; "na fedha ni shina la maovu yote"..... Sasa jiulize kama fedha ni shina la maovu yote, YESU atakupaje Pesa???
 
Ndiyo unitafute PM sasa nikupeleke Kigamboni, maana naona matomaso wapo wengi, ukajionee jinsi watu wanavyo ishi nusu ya peponi
Mtu kuishi ''nusu ya peponi'' siyo uthibitisho kuwa mafanikio yaweza kuletwa kwa uchawi. Hii inaonyesha kuwa mhusika alizipata fedha zake kwa njia ama halali au haramu-uchawi. Halafu nifafanue zaidi: Kuna watu matajiri ambao wanaamini ni kufanya vitendo vya ushirikina, wengine hata kuua. Lakini SIYO vile vitendo vinavyowaletea mafanikio na wangetajirika bila hata kuvifanya.
 
Mkuu karibu sana mererani kwa wazee wa ukuta,hku siku hizi walinzi wa ukuta kila kukicha wanafumaniwa na wake za watu,kulinda ukuta kumewashinda
Nliwahi ishi miaka Kadha Uko skuizi Naskia mmeboreshewa barabara banks hospital lakini hakuna hata Mia watu wamechoka vibaya mno,, Wanawake wamebaki kuburuzwa na walinda ukuta kutwa kufumaniwa na waume zao bila kusahau wanafunzi wa Benjamin sec,,,
 
Back
Top Bottom