Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mm nilikuwa nabisha wewe ni me uko pm unataka kunionyesha nn tena ebu tuma pm ya mzigua ipo wazi nitaonyeshwa kama kilivyo
Teh teh siwezi enda Pm ya Mzigua mimi naweza nisitoke huko mambo ya Tanga utaniponza bure na mimi kesho muone video yangu nasindikwa
 
Bado sijakuelewa ulipo sema nimewapiga fiksi, sasa nakuambia nitafute nikupeleke ukamwone huyo ndondocha bado unazunguka na story zako ndefu... Nakufungia ndani usiku nazima taa mim naondoka halafu uje uniambie ulicho kiskia humu ndani
Haya nilikuwa natishiwa zamani nikiwa mdogo. Siyo kwa upeo huu nilionao sasa.
 
Nakazia...mi nilishangaa kuna siku kalalamika mara hao fasta wameshamjibu kiunyenyekevu....lalamika wewe kama utajibiwa!
Ha ha
Afu uzi ukiwa unasasambuliwa mtu huwa unatamani kuvunja team na safu nzima ya modes.

Afu ajabu uzi wowote ukimtaja utafungwa.Usije na huu ukafungwa.
 
Ha ha
Afu uzi ukiwa unasasambuliwa mtu huwa unatamani kuvunja team na safu nzima ya modes.

Afu ajabu uzi wowote ukimtaja utafungwa.Usije na huu ukafungwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…