Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Mjini kwenye utoto tu ,baada ya hapo tulirudi Arusha ndio tukaenda porini ,unakatwa bila ganzi wanawake wamekaa kwa mbali ukitingisha upaja tu ni disqualified ,ukifanikiwa kukaza mpaka mwisho wakina mama wanapiga vigelegele ,uanaume wangu nimeugharamia ndio maana nimesikitika kufananishwa na mwanamke .Dah yaan we wa mjini mwenyewe sasa kingozi ulikipataje mana si lazima urudi porini umasaini