Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Mjini kwenye utoto tu ,baada ya hapo tulirudi Arusha ndio tukaenda porini ,unakatwa bila ganzi wanawake wamekaa kwa mbali ukitingisha upaja tu ni disqualified ,ukifanikiwa kukaza mpaka mwisho wakina mama wanapiga vigelegele ,uanaume wangu nimeugharamia ndio maana nimesikitika kufananishwa na mwanamke .Dah yaan we wa mjini mwenyewe sasa kingozi ulikipataje mana si lazima urudi porini umasaini
Hapana namsapoti!!nyie watanga hapana hata miye kaka angu nimemuapizaa!..Atutake radhi
Teh teh nisamehe bure Msela wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We kaka nitake radhi shunie mm kweli nimekuwa msela
Tehteh tehh...kuna kitu umenikumbushaSitaki wa kusuka wachafu wale mm bwana limoyo langu linasema research yangu nitaifanyia kwako
Inaonekana aliyemchukia Iyo Video alijificha.Si ka mkaka mmoja walimwonyesha hapo juu.Huenda aliitegesha mahaliNilichoshangaa sana ni kwenda kwa mganga na kupiga picha unachofanyiwa.
Bravo!! Bonge la point.Huyu jamaa namfaham sana . Nadhani hata atakuwa kachanjwa hadi kwenye ulimi. Anapenda mambo ya kishirikina sanaa .
Shida ya wanawake ndio hiii sasa kupenda mteremko hadi unajikuta umetumbukia kwa mwanamme muovu kama huyu. Mjifunze sio kila mtu mwenye maisha mazuri ameyapata kwa njia za kawaida .wengine wanamikataba na kuzimu . Ukija kushtuka tayari na wewe umeingia huko na watoto wenu.
Karibu gireInaonekana aliyemchukia Iyo Video alijificha.Si ka mkaka mmoja walimwonyesha hapo juu.Huenda aliitegesha mahali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!Mjini kwenye utoto tu ,baada ya hapo tulirudi Arusha ndio tukaenda porini ,unakatwa bila ganzi wanawake wamekaa kwa mbali ukitingisha upaja tu ni disqualified ,ukifanikiwa kukaza mpaka mwisho wakina mama wanapiga vigelegele ,uanaume wangu nimeugharamia ndio maana nimesikitika kufananishwa na mwanamke .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh nisamehe bure Msela wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We kaka nitake radhi shunie mm kweli nimekuwa msela
Mhhhh ya kweli haya unaweza ukawa wa ziwani ila na wasiwasi una vinasaba vya Tanga na hivi wazee wa zamani hawajui kupima DNA kwanini nasisimuka nikisoma comments zako ? Si ndio ulikuwa unatumia ID Genverous sijui kama nimeiandika vizuri ?[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana miye sio msela wako!!miye wa ziwani hukooo!!
Hii mbwembwe tu za kimjini
Wachafu wale wanaosuka kwao wana moyo!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shoga angu upo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Karibu gire
Mjini kwenye utoto tu ,baada ya hapo tulirudi Arusha ndio tukaenda porini ,unakatwa bila ganzi wanawake wamekaa kwa mbali ukitingisha upaja tu ni disqualified ,ukifanikiwa kukaza mpaka mwisho wakina mama wanapiga vigelegele ,uanaume wangu nimeugharamia ndio maana nimesikitika kufananishwa na mwanamke .
Kama mbuziiiWachafu sana na wananuka jamani
Khaaaaaa makubwa hayaHapana namsapoti!!nyie watanga hapana hata miye kaka angu nimemuapizaa!..
Asioe hukooo
Haaaahaaa...kumbe we kaka una mineno hivyo?!Mimi mpaka nivuke bahari leo sasa ? Kwa kweli usingekuwa wa Tanga walau ningekufikiria ,sasa hivi nakuona kama msela mmoja mwenye madevu
Khaaaa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Teh teh nisamehe bure Msela wangu
Karibu shost...mic uNilivyoiona tu hii story ya Ibrah sijui kwanini nikakufikiria wewe, nikasema ikiletwa tu humu lazima utatuletea ukweli mzima.
Kwa story za Arusha sina shaka na wewe