Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Shida ya kupenda kuelekea bondeni tu kama wasomalia,waesiopia na waeritrea..! Sometime kuelekea mlimani ni SALAMA ZAIDI.
Nimeipenda hii Nywila mkuu, iko deep sana wanaHip Hop wanaita double entendre kama sikosei
 


Mimi sijaelewa kwa nini walipiga hiyo clip? Ni nani alipipa hiyo clip?
 
Mimi sijaelewa kwa nini walipiga hiyo clip? Ni nani alipipa hiyo clip?
Inaonekana ni huyo jamaa ndio karekodi.... Ni sawa na tu na wapenzi yule wakiume arekodi wakiwa faragha halafu mpenzi wa kike achukulie poa tu kisa ni mpenzi wake halafu mwisho wa siku vidio ije kuleak

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijaelewa kwa nini walipiga hiyo clip? Ni nani alipipa hiyo clip?
Aliyochukua hiyo record inaonekana ni Mme wake according to maelezo ya Mke("waambie kwamba ni wewe ndio ulionipeleka kwa huyo mganga ili mgodi utoe madini").

Inaonekana jamaa alikuwa anachukua kwa siri,si unajua ukishika simu hauwezi kujua kama unarecordiwa unaweza ukajua jamaa anachezea simu kumbe anakurecord,ndio maana kuna sehemu kama hawataki kurecordiwa wanazuia kabisa matumizi ya simu ukiwa sehemeu hiyo.......Mtu anaweza akajifanya anatuma sms kumbe anakurecord.
 
Wakati unawaona enzi hizo na sasa unajua kwamba wamehamia Tanga, wewe huwa unafanya nini kipindi hicho?
 
Nilipewa stori ya bilionea mmoja, eti yeye alikuwa akiachana na demu/wife basi hachukui round anarestishwa in peace, maana atavujisha ya ndani.
Hii ni balaa na ipo kwenye mambo mengi sana, hivyo tusipende sana kujua SIRI ZA WATU, inaweza kukugharimu maisha yako.
 
Waganga wana watafuna kweli hawa wanawake wanaoenda kutafuta tiba. Rafiki yangu m1 ni mganga feki ndiyo zake halafu hakuna chochote,kama uchawi unaleta madini si uyalete mpaka ndani bila boss kwenda shimoni.
 
Mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…