Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Shida ya kupenda kuelekea bondeni tu kama wasomalia,waesiopia na waeritrea..! Sometime kuelekea mlimani ni SALAMA ZAIDI.
Nimeipenda hii Nywila mkuu, iko deep sana wanaHip Hop wanaita double entendre kama sikosei
 
Nimeiangalia video zaidi ya mara 20.
-Ukimuangalia Bidada unamuona kabisa hayupo happy kwa kitendo anachofanyiwa na mganga even thou akiaminishwa watapa utajiri kwa kupata jiwe la tanzanite kwenye chimbo la mumewe.
-Mdada inaonekana anamuheshimu sana mumewe mpaka kukubali kwenda kufanyiwa hayo madudu na mganga na ndio maana mganga alivyopeleka mikono kwenye "Maziwa" akamtazama mmewe kama kumuona alivyoshikwa na mganga hii inaonyesha anamuheshimu sana mmewe.
-Ila Matajiri wengi sana wana michezo hiyo sana,kwenye kila maghorofa tunayoyaona wanaoishi hao matajiri ukisearch ndani 6 kati ya 10 unaweza ukakuta "Mazezeta" ndani.


Mimi sijaelewa kwa nini walipiga hiyo clip? Ni nani alipipa hiyo clip?
 
Mimi sijaelewa kwa nini walipiga hiyo clip? Ni nani alipipa hiyo clip?
Inaonekana ni huyo jamaa ndio karekodi.... Ni sawa na tu na wapenzi yule wakiume arekodi wakiwa faragha halafu mpenzi wa kike achukulie poa tu kisa ni mpenzi wake halafu mwisho wa siku vidio ije kuleak

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijaelewa kwa nini walipiga hiyo clip? Ni nani alipipa hiyo clip?
Aliyochukua hiyo record inaonekana ni Mme wake according to maelezo ya Mke("waambie kwamba ni wewe ndio ulionipeleka kwa huyo mganga ili mgodi utoe madini").

Inaonekana jamaa alikuwa anachukua kwa siri,si unajua ukishika simu hauwezi kujua kama unarecordiwa unaweza ukajua jamaa anachezea simu kumbe anakurecord,ndio maana kuna sehemu kama hawataki kurecordiwa wanazuia kabisa matumizi ya simu ukiwa sehemeu hiyo.......Mtu anaweza akajifanya anatuma sms kumbe anakurecord.
 
Hawa wadada wa mjini ni wachawi hakuna mfano wakeee!!kuna bibi mmoja alikua mbagala kule nilikua nawaona mastaa km wote hivi enzi hizo...!!

Kuna mzee yuko tanga ndo walikohamia huoo sasa hivi!

Ukiwaona wanafanya dua si udambwidambwi basi jua wanatimiza makafara yao!!

Kibongo bongo hapa ushirikina ndo habari ya mjini
Wakati unawaona enzi hizo na sasa unajua kwamba wamehamia Tanga, wewe huwa unafanya nini kipindi hicho?
 
Nilipewa stori ya bilionea mmoja, eti yeye alikuwa akiachana na demu/wife basi hachukui round anarestishwa in peace, maana atavujisha ya ndani.
Hii ni balaa na ipo kwenye mambo mengi sana, hivyo tusipende sana kujua SIRI ZA WATU, inaweza kukugharimu maisha yako.
 
Waganga wana watafuna kweli hawa wanawake wanaoenda kutafuta tiba. Rafiki yangu m1 ni mganga feki ndiyo zake halafu hakuna chochote,kama uchawi unaleta madini si uyalete mpaka ndani bila boss kwenda shimoni.
 
Watu wanaovaa kanzu na vibarakashia wanapenda sana mambo ya USHIRIKINA, 99.99% na hilo halina ubishi. Quaran yenyewe ukisoma hadithi zake zimekaa kishirikina kishirikina zaidi. Waganga wengi wa kienyeji ni Waislamu au Wapagani, huwezi kumkuta Mganga wa Kienyeji Mkristo, hakuna hata mmoja.

Sisemi wamiliki wa migodi Wakristo hawafanyi ushirikina bali nachokisema hapa ni kwamba matajiri wengi ambao ni Waislamu ni washirikina mbaya.
Mmmh
 
Back
Top Bottom