Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kwa umri wangu unaoelekea nusu karne sasa nimegundua kuna Mungu mmoja tu. Namna za kumfuata ni nyingi na zote ameziruhusu yeye. Imani ya kweli ni kumpenda Mungu na JIRANI. Kama unaweza kupata rizki kwa kutumia vizuri unachoamini ni sawa ila usimdhuru binadamu mwingine. Kwenda kwa waganga kwa mahitaji binafsi sio kosa ila kuharibu wenzetu. Imani nyingi tumepokea ila nyingi ni mizigo tusioijua.
 
Back
Top Bottom