Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Yule tuliambiwa alipata allergy ya dawa za malaria

Ukiwa na kazi ya kutolala usiku pia
Unatia aibu kwa kuwa mdaku uliyejaaa uongo na nilifikiri unazo hata kidunchu.. kumbe unasukumwa na udaku wa mwenzako aliye ishiwa udaku hadi ana akaunti zingine anapuputia utabia wake..

Umeonyesha wewe unayajua haya.. maana kabla ulilia lia upekwe na kuandika wote wa mataifa tofauti waliofaidi.. mara pwaaaaa ukabadilika baada ya kufata masharti eeeeh ila kimoja kale ka klasi ulidanganya upo nako ukashindwa kukakeep.. kumbe ukageuka kuwa boyaaa.. mwemza huyo..
 
[emoji23] [emoji23]
umeandika nini wewe?
 
Huyu jamaa namfaham sana . Nadhani hata atakuwa kachanjwa hadi kwenye ulimi. Anapenda mambo ya kishirikina sanaa .

Shida ya wanawake ndio hiii sasa kupenda mteremko hadi unajikuta umetumbukia kwa mwanamme muovu kama huyu. Mjifunze sio kila mtu mwenye maisha mazuri ameyapata kwa njia za kawaida .wengine wanamikataba na kuzimu . Ukija kushtuka tayari na wewe umeingia huko na watoto wenu.
 
Huyo anayekupa hayo mazingaombwe ya uganga yeye mwenyewe masikini wa kitupwa...

Tupo karne ya 21 ya Sayansi na Teknolojia, watu wanarusha vyombo anga za masafa marefu, ila bado watu wanafikiri kuna pesa za kuteremshwa na waganga.., manabii, wachungaji uchwara......my bro hakunaaaaa....believe me...unachoenda kuambulia huko ni allucination za muda tuu kukuliwaza...

Hakuna kitu kama hicho....Hizo ndo illusion zenyewe...Halafu hizo ni stori, nikikwambia unipe mfano hai wa mtu aliyepata utajiri kwa njia hiyo hutoweza..
Mzee upo wrong,Mungu ana uwezo wa kumpa mtu utajiri na shetani pia ana uwezo wa kumpa mtu utajiri
 
Hawa wadada wa mjini ni wachawi hakuna mfano wakeee!!kuna bibi mmoja alikua mbagala kule nilikua nawaona mastaa km wote hivi enzi hizo...!!

Kuna mzee yuko tanga ndo walikohamia huoo sasa hivi!

Ukiwaona wanafanya dua si udambwidambwi basi jua wanatimiza makafara yao!!

Kibongo bongo hapa ushirikina ndo habari ya mjini
 
Hahaha ,wadada wa mujini 'vigagula'
 
Hawa wadada wa mjini ni wachawi hakuna mfano wakeee!!kuna bibi mmoja alikua mbagala kule nilikua nawaona mastaa km wote hivi enzi hizo...!!

Kuna mzee yuko tanga ndo walikohamia huoo sasa hivi!

Ukiwaona wanafanya dua si udambwidambwi basi jua wanatimiza makafara yao!!

Kibongo bongo hapa ushirikina ndo habari ya mjini
Ila wadada wa mujini kwa DUA tu ,wako vzr ,kumbe huwa wanapitisha mambo yao humo?
 
Back
Top Bottom