Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule tuliambiwa alipata allergy ya dawa za malaria
[emoji23] [emoji23]Ukiwa na kazi ya kutolala usiku pia
Unatia aibu kwa kuwa mdaku uliyejaaa uongo na nilifikiri unazo hata kidunchu.. kumbe unasukumwa na udaku wa mwenzako aliye ishiwa udaku hadi ana akaunti zingine anapuputia utabia wake..
Umeonyesha wewe unayajua haya.. maana kabla ulilia lia upekwe na kuandika wote wa mataifa tofauti waliofaidi.. mara pwaaaaa ukabadilika baada ya kufata masharti eeeeh ila kimoja kale ka klasi ulidanganya upo nako ukashindwa kukakeep.. kumbe ukageuka kuwa boyaaa.. mwemza huyo..
Yapo mengi sanaHii mambo kumbe ipo?... Huwa nadhani uwongo tu
[emoji23] [emoji23]
umeandika nini wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tu sista! Masistaduuu wa town usiwaone tu wanashine ndani ya harrier kumbe nyuma ya Pazia ni vigagula balaa. Akikupiga usinga mmoja tu hupindui.
Si ndo hapoHivi Hilo neno billionaire mnalikosea heshima
Nataka nikachimbe madini na MimiHuko mererani ndo tabia wanamini ushirikina sana hasa vijana wadogo muda mwingi wanambiaga waganga bora zaidi
Siri ya watu wawili hakunaga na haitakuja tokea.Mwanamke ukimwambia hii iwe siri ndio km umemwambia aende bbc akaitoe
Mzee upo wrong,Mungu ana uwezo wa kumpa mtu utajiri na shetani pia ana uwezo wa kumpa mtu utajiriHuyo anayekupa hayo mazingaombwe ya uganga yeye mwenyewe masikini wa kitupwa...
Tupo karne ya 21 ya Sayansi na Teknolojia, watu wanarusha vyombo anga za masafa marefu, ila bado watu wanafikiri kuna pesa za kuteremshwa na waganga.., manabii, wachungaji uchwara......my bro hakunaaaaa....believe me...unachoenda kuambulia huko ni allucination za muda tuu kukuliwaza...
Hakuna kitu kama hicho....Hizo ndo illusion zenyewe...Halafu hizo ni stori, nikikwambia unipe mfano hai wa mtu aliyepata utajiri kwa njia hiyo hutoweza..
Hahaha ,wadada wa mujini 'vigagula'Hawa wadada wa mjini ni wachawi hakuna mfano wakeee!!kuna bibi mmoja alikua mbagala kule nilikua nawaona mastaa km wote hivi enzi hizo...!!
Kuna mzee yuko tanga ndo walikohamia huoo sasa hivi!
Ukiwaona wanafanya dua si udambwidambwi basi jua wanatimiza makafara yao!!
Kibongo bongo hapa ushirikina ndo habari ya mjini
Ila wadada wa mujini kwa DUA tu ,wako vzr ,kumbe huwa wanapitisha mambo yao humo?Hawa wadada wa mjini ni wachawi hakuna mfano wakeee!!kuna bibi mmoja alikua mbagala kule nilikua nawaona mastaa km wote hivi enzi hizo...!!
Kuna mzee yuko tanga ndo walikohamia huoo sasa hivi!
Ukiwaona wanafanya dua si udambwidambwi basi jua wanatimiza makafara yao!!
Kibongo bongo hapa ushirikina ndo habari ya mjini
Huo ndo ukweli....!!!!yaani hao niliokua nawaona miye maana tulikua neighbors mpk nachoka!!!Hahaha ,wadada wa mujini 'vigagula'
Kumbe je hao masheikh wao wanakua wanamaliza mambo yao ile dua kulisha watoto km kafara yaani ila sio eti kwa ajili ya kusaidia,unagangwa then wanamaliza kulisha yatima au watoto pale ndo hitimishoIla wadada wa mujini kwa DUA tu ,wako vzr ,kumbe huwa wanapitisha mambo yao humo?