Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Umofia Kwenu wana JF,

Katika kupitapita instagram leo,nimekutana na habari inayomuongelea "Bilionea wa madini" Ibra Mwakichui behind his sucess kwamba alitoa kafara mdogo wake na kumfanya mama yake zezeta.

Taarifa hizo amezitoa mkewe baada ya kuchukizwa kwa kuvuja kwa video ikimuonyesha yupo kwa mganga wa kienyeji akifanyiwa matambiko/tiba.

Nisikuchoshe wala tusichoshane unaweza kuona screenshots za insta.
View attachment 810953

View attachment 810954
Mke anayedaiwa kutoa hayo maelezo ya juu na video yake yake kwa mganga.
View attachment 810961
Mwanamme inayedaiwa aliyevujisha video.
View attachment 810962
View attachment 810963

Clip Samiratha akiwa kwa Mganga,Hii Clip ndio iliyosababisha afichue siri ya utajiri wa aliyekuwa Mumewe.
Huyo mbugila tu hana chochote zaidi ya nyumba aishio,ila kweli mdogo wke alifariki kimazingara jamaa hakumwambia yeyote kuhusu msiba zaidi ya kumbeba kwenye gari na kumpeleka kwao tanga kumzija
 
Unaambiwa Samiratha ni bingwaa kabisa wa waganga. Hapo kusema mumewe labda walikua wanafanya wote. Halafu yeye sio mtoto kusema alikua anafanya bila ufahamu
Mhhh samira kamkuta jamaa fundi balaa wa tanga mwezio huyo,ibra keshakimbiwa na mkewe wa kwanza kisa ushirikina...mdogo wke alikufa kiajabu akambeba kwenye gari yke kma abiria yani kamuweka kwenye siti ya nyuma na kumpeleka tanga kumzika bila hata kuwaambia washkaji nimefiwa
 
Kama hivyo kaka Ibra fundi kabisa.
 
Kumbe ni Ruth Kawala ,lile toto na tako lake bado hajakua tu ? Ugomvi wake na Samira ni nini ? Hii mitoto ya mjini inasagana sana usikute ni wivu ndio ukaleta haya yote .
Huyo waligombana snap. Ila Sh..... ndo alomrecord mwenzie. Inaezekana Sh...sio karecord amatuma kwa Ruth halafu Ruth akairusha. Maana aliweka snap na mchambo
 
Huyu jamaa namfaham sana . Nadhani hata atakuwa kachanjwa hadi kwenye ulimi. Anapenda mambo ya kishirikina sanaa .

Shida ya wanawake ndio hiii sasa kupenda mteremko hadi unajikuta umetumbukia kwa mwanamme muovu kama huyu. Mjifunze sio kila mtu mwenye maisha mazuri ameyapata kwa njia za kawaida .wengine wanamikataba na kuzimu . Ukija kushtuka tayari na wewe umeingia huko na watoto wenu.
Hahaaa kumbe unamjua kijana ibra,ni fundi nyumbani kwake hata uwe rafiki utaishia nje ya geti
 
Hahaa sio fundi ni fundiii mpka marafiki wamemkimbia cz ya ulonzi,istoshe mgodi sio wke mwenye mgodi yuko dar na mgodi ukiwa na mtaji plus miundombinu ya kisasa pamoja na geologist lazma upate tanzanite tu
Sema wanawake sisi bwana. Mtu anaeweza muua mama ake mtu anamvulia nguo kabisa usiku bila woga. Na ashukuru Mungu huyo Samira shoga ake kuwaumbua maana walipokua wanaelekea ni kutoa kafara watoto wao
 
Mke wke b4 huyu alikimbia ushirikina wa jamaa baada ya kumtoa mdogo wke kafara,istoshe hata mafanikio yeyote ya maana hana zaidi ya nyumba mwanama ambayo haifiki hata 50m
 
Mhhh samira kamkuta jamaa fundi balaa wa tanga mwezio huyo,ibra keshakimbiwa na mkewe wa kwanza kisa ushirikina...mdogo wke alikufa kiajabu akambeba kwenye gari yke kma abiria yani kamuweka kwenye siti ya nyuma na kumpeleka tanga kumzika bila hata kuwaambia washkaji nimefiwa
Hahaa sio fundi ni fundiii mpka marafiki wamemkimbia cz ya ulonzi,istoshe mgodi sio wke mwenye mgodi yuko dar na mgodi ukiwa na mtaji plus miundombinu ya kisasa pamoja na geologist lazma upate tanzanite tu
Hahaaa kumbe unamjua kijana ibra,ni fundi nyumbani kwake hata uwe rafiki utaishia nje ya geti
Mke wke b4 huyu alikimbia ushirikina wa jamaa baada ya kumtoa mdogo wke kafara,istoshe hata mafanikio yeyote ya maana hana zaidi ya nyumba mwanama ambayo haifiki hata 50m
Aiseee
 
Back
Top Bottom