Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Hii ishu nimeshaiongelea mpaka nimechoka.

Tuna Watu Wajinga sijui hata tatizo ni nini.

Mtu unamuamini Mganga na bado unaenda kufanya kazi ndio upate hizo pesa, kama ana uwezo huo wa miujiza kwa nini usilale ndani kwako hizo pesa zije?

Ukichimba Mererani ofcourse una uwezekano wa kupata Tanzanite, na ukiiuza utapata pesa, sasa sijui hapo nafasi ya Uganga na kafara zinazotajwa ni nini?
Mkuu wanafanikiwa wengine mkuu,haya mambo yapo..hii dunia ina mengi
 
Umedoda siku hizi humu
Unatafuta kiki kupitia Cocochanel

Hata kufikiria nje ya boksi hujawahi wezs.. ila umesoma mwanzo mwisho.. ulifikiri nitaandika hayo ya waganga urudi tena kuwanga.. ukifikiro utasoma pale pa wanatoa huduma bure... eeeeh

U too low low loooooooow
Embu pita hukoooo.. ukitaka lia lia kwa kumalizwa.. eeeeeh
Wewe ndo juliana shonza??
 
Hapana nimepata habari aliyempa demu video airushe ni mume wa Samira huyo Ibra mwenyewe akampa Ruth
Hapana nimepata habari aliyempa demu video airushe ni mume wa Samira huyo Ibra mwenyewe akampa Ruth
Ruth Kawalla ambaye mamake alikuaga Headmistress Mringa Sec au na marehemu babake alikua Askofu wa Anglican?
 
Mhhh samira kamkuta jamaa fundi balaa wa tanga mwezio huyo,ibra keshakimbiwa na mkewe wa kwanza kisa ushirikina...mdogo wke alikufa kiajabu akambeba kwenye gari yke kma abiria yani kamuweka kwenye siti ya nyuma na kumpeleka tanga kumzika bila hata kuwaambia washkaji nimefiwa
What?!!kumbe ndo zakee...ila huyo samira nae alikua anapenda hizo mambo!!!

Maana mpk walikua wanaenda wote hao!loohh!
 
Ukipenda kuwa slayqueen lazima uishie humo tu walah hichi ni kiroja cha mwaka jamani huyu Samira si wakuyafanya haya mfyuu eti mume ndo kampeleka kwa alishikiwa bastola??akhaa ni tamaa tu za kuendelea kuwa top zimemponza sijui ataficha wapi uso wake!kazingua kinoma huyu manzi asitafute huruma!akatubu kwa Mola wake na maushirikina yake shubamit![emoji52]
huo ndio uafrika sasa...timu ya Simba inaloga hadharani wanakuwa mabingwa...ila mnajisahau kabla ya mzungu kuja????
 
Back
Top Bottom