witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Afuu utasikia" eeh chibu ana roho nzuuri[emoji15] [emoji15]Zile kafara zao zile hakuna msaada wala nini!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afuu utasikia" eeh chibu ana roho nzuuri[emoji15] [emoji15]Zile kafara zao zile hakuna msaada wala nini!!!!
Mkuu wanafanikiwa wengine mkuu,haya mambo yapo..hii dunia ina mengiHii ishu nimeshaiongelea mpaka nimechoka.
Tuna Watu Wajinga sijui hata tatizo ni nini.
Mtu unamuamini Mganga na bado unaenda kufanya kazi ndio upate hizo pesa, kama ana uwezo huo wa miujiza kwa nini usilale ndani kwako hizo pesa zije?
Ukichimba Mererani ofcourse una uwezekano wa kupata Tanzanite, na ukiiuza utapata pesa, sasa sijui hapo nafasi ya Uganga na kafara zinazotajwa ni nini?
Wewe ndo juliana shonza??Umedoda siku hizi humu
Unatafuta kiki kupitia Cocochanel
Hata kufikiria nje ya boksi hujawahi wezs.. ila umesoma mwanzo mwisho.. ulifikiri nitaandika hayo ya waganga urudi tena kuwanga.. ukifikiro utasoma pale pa wanatoa huduma bure... eeeeh
U too low low loooooooow
Embu pita hukoooo.. ukitaka lia lia kwa kumalizwa.. eeeeeh
Hapana nimepata habari aliyempa demu video airushe ni mume wa Samira huyo Ibra mwenyewe akampa Ruth
Ruth Kawalla ambaye mamake alikuaga Headmistress Mringa Sec au na marehemu babake alikua Askofu wa Anglican?Hapana nimepata habari aliyempa demu video airushe ni mume wa Samira huyo Ibra mwenyewe akampa Ruth
Na dada yake ni marehemu ,hujakosea kabisaRuth Kawalla ambaye mamake alikuaga Headmistress Mringa Sec au na marehemu babake alikua Askofu wa Anglican?
oohHivi wewe ni muhindi?
Mkuu mzigua90 nipe number ya Samira,yule dada ni mzuri sana aisee..! Mkuu npo serious kwa gharama yoyote,km huamini njoo pm,nikuambie..!!Basi hapo umetamani ndo ungekua mganga
Yeah dadake alikua anaitwa Shangwe R.P.I ..Na dada yake ni marehemu ,hujakosea kabisa
Yeah acha tu dunia hiiYeah dadake alikua anaitwa Shangwe R.P.I ..
Yule ndiye alikua kichwa cha familia aisee.
Duuhh!!kumbeeHahaa sio fundi ni fundiii mpka marafiki wamemkimbia cz ya ulonzi,istoshe mgodi sio wke mwenye mgodi yuko dar na mgodi ukiwa na mtaji plus miundombinu ya kisasa pamoja na geologist lazma upate tanzanite tu
What?!!kumbe ndo zakee...ila huyo samira nae alikua anapenda hizo mambo!!!Mhhh samira kamkuta jamaa fundi balaa wa tanga mwezio huyo,ibra keshakimbiwa na mkewe wa kwanza kisa ushirikina...mdogo wke alikufa kiajabu akambeba kwenye gari yke kma abiria yani kamuweka kwenye siti ya nyuma na kumpeleka tanga kumzika bila hata kuwaambia washkaji nimefiwa
Why unaishia nje ya geti?hebu rafiki tupeHahaaa kumbe unamjua kijana ibra,ni fundi nyumbani kwake hata uwe rafiki utaishia nje ya geti
Aiseeehh!!!jamani loooh!!watu wabaya jamaniMke wke b4 huyu alikimbia ushirikina wa jamaa baada ya kumtoa mdogo wke kafara,istoshe hata mafanikio yeyote ya maana hana zaidi ya nyumba mwanama ambayo haifiki hata 50m
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamani kaahHajawahi kua na chochote cha maana zaidi ya nguo na utozi
Daah! Uchawi mwingine huuNdio huyo ana vx 80 series,tozi flan na kujisikia
Michambo update ipo badoKhaa koote wamefuta watu wanaogopa TCRA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye mwenyewe ana ndondocha lake.
huo ndio uafrika sasa...timu ya Simba inaloga hadharani wanakuwa mabingwa...ila mnajisahau kabla ya mzungu kuja????Ukipenda kuwa slayqueen lazima uishie humo tu walah hichi ni kiroja cha mwaka jamani huyu Samira si wakuyafanya haya mfyuu eti mume ndo kampeleka kwa alishikiwa bastola??akhaa ni tamaa tu za kuendelea kuwa top zimemponza sijui ataficha wapi uso wake!kazingua kinoma huyu manzi asitafute huruma!akatubu kwa Mola wake na maushirikina yake shubamit![emoji52]
wanawake ndio wateja wakuu wa waganga..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wamewahi kukuwangia