Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Mzee upo wrong
Then! Thibitisha uongo wangu kwa bayana jadidi zilizosheheni ukweli..[/quote]

Mungu ana uwezo wa kumpa mtu utajiri
Fungua akili yako...Mungu anakupa nguvu za kufanya kazi, akili ya kuwaza, ili ujue ni jinsi gani utayakabili maisha....
Au labda sijui wewe ulikuwa una maanisha nini..???

Na shetani pia ana uwezo wa kumpa mtu utajiri
Kivipi...??? Nipe ufafanuzi hapa
 
Kua na nyumba ya kuishi na gari 2 kwa kuloga kwa speed ya 4G ni ukichaa,kwa ushirikina wke wote angemiliki mali za kutosha,magari wanaapolo wanamiliki kwa wingi tena ya thamani kubwa,
Yeye anaroga bdo tu anatumia vx ya mwaka 96
Oooh Ok....nimekupata, ni unaloga afuu huna hata miradi!

Basi mxiueee zake!
 
Oooh Ok....nimekupata, ni unaloga afuu huna hata miradi!

Basi mxiueee zake!
Nyumba ya kawaida kma 50m plus vx ya 96 model na rav4 vyote akiuza anapata kma 80m sasa ushirikina kwake umempa nini,mererani walikua wanaloga zamani na migodi yote ya washirikina ilishakufa.imebaki migodi ya kisasa ya waliowekeza miundombinu kwa gharama kubwa
 
Back
Top Bottom