Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Teh teh mama acha kabisa ,wewe pia wa Tanga eeh ? Sema tu nimalize kabisa kukuweka kwenye List yangu ya masela ,maana hii chemistry yenu wewe ,Mzigua ,Shunie,Raynavero kama triplets vile .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Teh teh mama acha kabisa ,wewe pia wa Tanga eeh ? Sema tu nimalize kabisa kukuweka kwenye List yangu ya masela ,maana hii chemistry yenu wewe ,Mzigua ,Shunie,Raynavero kama triplets vile .
Wee...miye hapana ntoe hukooo kwenye uselaa...hao kina wazigua ndo kwawafaa hukooo...

[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi kukuqoute tu nilikuwa naogopa napita mbali nikijua wa Tanga ,maake wewe na mwananyamala tena
[emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani tangaa,tanga!mnatuharibia wenzenuu loooh!!

Miye nimekua,mwananyamala nshahama mdada mkubwa sasa hivi!
Mstaarabu!!

Tanga hata kufika sijawahi!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji6]
 
Back
Top Bottom