Mirhea
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 814
- 1,382
Aisee upo deep ila ngoja kwa maelezo zaidi nimsubiri mwenye phd yake.Kwa kawaida ile dawa inayotoka kwenye kibuyu hupakwa baada ya kuchanja chale, huyu hajachanjwa chale halafu anapakwa dawa za kwenye kibuyu!!! Labda uganguzi wa kimamboleo, lakini hapo ni wizi mtupu, yule kuku wa kafara hajashughulikiwa, wala kuonekana jinsi alivyotumika kwenye kuagua.
Hata yale manjonjo na majigambo ya mganga hayaonekani, lo salaleeee, mtu anaibiwa kweupeeeee na kitoweo kinapatikana bila kutumika kwenye kuagua!!