Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kwa kawaida ile dawa inayotoka kwenye kibuyu hupakwa baada ya kuchanja chale, huyu hajachanjwa chale halafu anapakwa dawa za kwenye kibuyu!!! Labda uganguzi wa kimamboleo, lakini hapo ni wizi mtupu, yule kuku wa kafara hajashughulikiwa, wala kuonekana jinsi alivyotumika kwenye kuagua.
Hata yale manjonjo na majigambo ya mganga hayaonekani, lo salaleeee, mtu anaibiwa kweupeeeee na kitoweo kinapatikana bila kutumika kwenye kuagua!!
Aisee upo deep ila ngoja kwa maelezo zaidi nimsubiri mwenye phd yake.
 
Na huo ushombe shombe wako kwenye Dp na Samira muhusika wa hii mada ana ushombe wa kiarabu hivi mnaweza mkawa distant relatives
Haha
Mkuu nimekuogopa si kwa kuunganisha huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi sina undugu nae nilikua namuona zamani mjini enzi hizo anadanga tu.
 
Mkuu nimekuogopa si kwa kuunganisha huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi sina undugu nae nilikua namuona zamani mjini enzi hizo anadanga tu.
Hahaha poa mkuu nilikuwa natania tu ,uzi huu ngoja nitoke maana naona masela zangu wametembezewa ban
 
People need deliverance
Na wewe unaonaje?
Pesa ni za Shetani ila tuzitafute kidogo tu,kwa ajili ya kujikimu na wala si kwa ajili ya kutajirika?
Hakika vizazi vyetu vitapata tabu sana kwa umaskini!
 
Ntahakikisha hili nalishuhudia...next month naenda Arachuga kwa kazi hiyo tu
emoji23.png
emoji23.png
Ukija tutafutane,nipo MINJINGU Huku.
 
Back
Top Bottom