Kwani kaandika kipotugali 😀hayo maneno mawili ungeandika kwa kiingereza au kiswahili na sisi wengine tuelewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kaandika kipotugali 😀hayo maneno mawili ungeandika kwa kiingereza au kiswahili na sisi wengine tuelewe.
Kwani kaandika kipotugali 😀
Usijali, angalau na sisi tuwe tunatupia unge'nge' kidogo pamoja na kwamba ni kibovuha ha ha hata sijui lugha gani ila neno moja ndo nimeona la kiingereza mengine hayo mawili sijui lugha gani
hujawahi kukwama wewe................ila waganga wanafaidi sana.....yaani hapo amemchezea mrembo alafu na kuku amekula...yote hayo ni uzushi mtupu....Demu mkali ivo anakubalije kushikwashikwa kizembe ivo? Tena na mganga
Yaan ni heri kula mlo mmoja wenye Amani kuliko Milo sita yenye fedheha namna hiyo Suleiman mwenyew kasema yote ni ubatiri ni sawa na kukimbiza upepo....Sitofanya chochote kitakachomdhuru mwanadamu katika utafutaji wa ridhiki,
Mwenyezi Mungu anisaidie, sitoweza kumgusa mama yangu au ndugu yangu yoyote, bora nife masikini.
Kuna sehemu nilitaka kupanga nyumba , maana ilikuwa nzuri ina fensi ya uhakika..mazingira ya utulivu.lakini mwenye nyumba àkogoma kunipangisha nyumba hiyo kwa visingizio kibao. Mimi nikawa nalazimisha anipangishe kwa kumulaghai huku na huko. Ila kila nikiongeza juhudi za kumshawishi mwenye nyumba dalali naona anazidi kuwa na wasiwasi...baadaye dalali alinitoa pale kijaja (eti kapokea message kuna nyumba nyingine nikaiangalie). Njiani Dalali àlianza kuniomba msamaha na kusema mshukuru Mungu wako, maana hujui kwa nini yule mmwenye nyumba kagoma kukupangisha nyumba ile. Dalali akaongeza "Nisamehe mimi niliyekuleta pale ni njaa zangu". Alinidokeza kuwa hiyo nyumba alijengewa na kijana wake anafanya biashara ya kuchimba madini na akasema anaomba aishie hapo kwa maelezo hayo.Nimeiangalia video zaidi ya mara 20.
-Ukimuangalia Bidada unamuona kabisa hayupo happy kwa kitendo anachofanyiwa na mganga even thou akiaminishwa watapa utajiri kwa kupata jiwe la tanzanite kwenye chimbo la mumewe.
-Mdada inaonekana anamuheshimu sana mumewe mpaka kukubali kwenda kufanyiwa hayo madudu na mganga na ndio maana mganga alivyopeleka mikono kwenye "Maziwa" akamtazama mmewe kama kumuona alivyoshikwa na mganga hii inaonyesha anamuheshimu sana mmewe.
-Ila Matajiri wengi sana wana michezo hiyo sana,kwenye kila maghorofa tunayoyaona wanaoishi hao matajiri ukisearch ndani 6 kati ya 10 unaweza ukakuta "Mazezeta" ndani.
Samiratha Kafunda or Houseofbeauty.Huyu mwanamke anatumia jina gan Instagram?
Samiratha houseofbeautyHuyu mwanamke anatumia jina gan Instagram?
Samiratha houseofbeautyHuyu mwanamke anatumia jina gan Instagram?
Blackbold: Hivi ni kweli...!?😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Savimbi mzee wa ngada.
Qchilla alikuwa NYOKA tu mla NGADA na si muuzaji.Blackbold: Hivi ni kweli...!?
Aisee...Nilikuwa silijui hili! Ila kuhusu huyo 'muasi' wa zamani wa Angola ni kweli ama aliangushiwa 'jumba bovu'!?Qchilla alikuwa NYOKA tu mla NGADA na si muuzaji.
Jumba Bovu tu.Aisee...Nilikuwa silijui hili! Ila kuhusu huyo 'muasi' wa zamani wa Angola ni kweli ama aliangushiwa 'jumba bovu'!?
Inaonekana alipata jiwe zamani below 2012 huko nyuma sasa tangia awe na huyo mke wake(aliyemtolea mapovu),"pamoja na ushirikina wote hajawahi kupata jiwe na hatopata hata la Tsh 500."Hajawahi kutoa hata jiwe la sh 500 kwa maisha hayo? Au mwanamke kavurugwa na huyo anaesema ni malaya wake?