Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Sitofanya chochote kitakachomdhuru mwanadamu katika utafutaji wa ridhiki,

Mwenyezi Mungu anisaidie, sitoweza kumgusa mama yangu au ndugu yangu yoyote, bora nife masikini.
Yaan ni heri kula mlo mmoja wenye Amani kuliko Milo sita yenye fedheha namna hiyo Suleiman mwenyew kasema yote ni ubatiri ni sawa na kukimbiza upepo....
 
Nimeiangalia video zaidi ya mara 20.
-Ukimuangalia Bidada unamuona kabisa hayupo happy kwa kitendo anachofanyiwa na mganga even thou akiaminishwa watapa utajiri kwa kupata jiwe la tanzanite kwenye chimbo la mumewe.
-Mdada inaonekana anamuheshimu sana mumewe mpaka kukubali kwenda kufanyiwa hayo madudu na mganga na ndio maana mganga alivyopeleka mikono kwenye "Maziwa" akamtazama mmewe kama kumuona alivyoshikwa na mganga hii inaonyesha anamuheshimu sana mmewe.
-Ila Matajiri wengi sana wana michezo hiyo sana,kwenye kila maghorofa tunayoyaona wanaoishi hao matajiri ukisearch ndani 6 kati ya 10 unaweza ukakuta "Mazezeta" ndani.
Kuna sehemu nilitaka kupanga nyumba , maana ilikuwa nzuri ina fensi ya uhakika..mazingira ya utulivu.lakini mwenye nyumba àkogoma kunipangisha nyumba hiyo kwa visingizio kibao. Mimi nikawa nalazimisha anipangishe kwa kumulaghai huku na huko. Ila kila nikiongeza juhudi za kumshawishi mwenye nyumba dalali naona anazidi kuwa na wasiwasi...baadaye dalali alinitoa pale kijaja (eti kapokea message kuna nyumba nyingine nikaiangalie). Njiani Dalali àlianza kuniomba msamaha na kusema mshukuru Mungu wako, maana hujui kwa nini yule mmwenye nyumba kagoma kukupangisha nyumba ile. Dalali akaongeza "Nisamehe mimi niliyekuleta pale ni njaa zangu". Alinidokeza kuwa hiyo nyumba alijengewa na kijana wake anafanya biashara ya kuchimba madini na akasema anaomba aishie hapo kwa maelezo hayo.

Toka siku hiyo niliacha uking'ang'anizi kwenye masuala ambayo sijui undani wake.
 
Hajawahi kutoa hata jiwe la sh 500 kwa maisha hayo? Au mwanamke kavurugwa na huyo anaesema ni malaya wake?
Inaonekana alipata jiwe zamani below 2012 huko nyuma sasa tangia awe na huyo mke wake(aliyemtolea mapovu),"pamoja na ushirikina wote hajawahi kupata jiwe na hatopata hata la Tsh 500."
 
Back
Top Bottom