Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Hawa wajasiriamali wa insta wana mengi tuu wamebeba vifuani yasio pendeza waonage tuuu wanakula bata ooohh hustling hustling kumbe [emoji17] [emoji17] [emoji17]
...kumbe wana'hustle' makaburini...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Napingana na wewe, kuna watu tuna siri siku zikivuja itakuwa Mwisho wa Dunia.

Siri ya wawili ipo.
ni kweli aisee.... mimi kuna muda huwa nikizikumbuka baadh ya Siri kifua hua kama kinakuwa moto ila lazima tutazikwa nazo,ipo siri tumeitunza huu mwaka wa 20+ mimi na wenzangu wanne, wote bado tupo hai na hakuna aliyewah kumsimulia mke wala mtoto wake.. siri ya wawili ipo ila inategemea vifua vyao
 
Tulimzika jamaa yetu moja aliyepata utajiri wa ghafla,aliugua kwa mateso makali sana mpaka kifo chake.

Hiyo ni baada ya kushindwa kumtoa kafara Mke wake na Mtoto wao inaoneka mke alikuwa vizuri,

Matokeo ya hapo imebaki simulizi mpaka leo.
Maana mwisho wa siku jamaa alitubu akaokoka mchungaji aliyeongoza hilo zoezi acha tu ,vitu alivyoibua ndani ya chumba ambacho alikuwa haingii mtu hata mke wa tajiri imebakia story haya mambo hayafai.
 
POROJO POROJO ..KWANZA UNACHUKUAJE VIDEO KWA MGANGA ILI IWEJE, NA KWANINI, NAONA STORI YA MOVIE HII AU SCRIPT ZA BONGO MOVIE HIZI.
 
Back
Top Bottom