Maneno huumba, ngoja Mungu amhesabie siku. Mwingine mwenye kauli kama hizo wamemuaga leo lakini EL bado yupo anawapelekesha. Sijuwi Nape anakichwa gani asiweze kujifunza.
Nepi ni mpuuzi sana, hata ameshindwa kujua kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi! Sijui kama ameshaandaa pa kujificha
Hapana tumuombee aishi maisha marefu aje kujifunza kwa Lowassa anavyongoza nchi kwa ustaarabu.Nape ajifunze kwa celina Kombani na Komba dhidi ya Warioba. Msije mkashangaa Nape anakufa kabla ya Lowasa, Kifo ni kifo hata kama ni ajali, Cha muhimu kujua ni kwamba hesabu za maisha ya binadamu ziko mikononi mwa Mungu.
futa machozi kaka lowassa ndo raise na nape aanze kabisa kutafuta nchi ya kuishi au at a way replace babu seya sege dansi
mbeya wakiendelea kupiga kelele ule uwanja wa ndege tuubebe tuuamishie tabora maana hawana shukrani
Zipo nyingi sana tu tatizo wengi wanaompenda sio wa vijiweni wala wapiga kelele,
makofuli akijitahidi sana anapata kura 30% ya kura zote na hapo ni baada ya bao la mkono
M kwa dharau zao ndio zitasababsha nipige kura ya hasira UKAWA naenda eneo la tukio sa 2 usku hyo itakuwa tar 24 ntakuwa najikumbusha matukio yaliyowah kutokea kwa sababu ya CCM then ntalia ucku kucha na sa 9 tayar ntakuwa kwenye mstar
Membe kamnunulia nyumba Dubai yeye na makonda kwa kutumia yale mabilion ya marehemu Gadafi anajua kuwa Siku Lowasa akitangazwa kuwa Rais lazima ataona Aibu sana ingawa Lowasa hana Visasi.
Unapaniki mapema hii, na bado...endeleeni kujiliwaza, ile ngome yenu kongwe leo imevurugwa vibaya sana eroo watu wanataka mabadiliko tu,no more kelele..
Hao watu wa Iringa wameyasema hayo wapi na ni watu wangapi?
Usipumbazwe na wingi wa wahudhuria mikutano...
Malipo ni hapahapa tunakofanyia kiburi sababu ya pumzi hii tuliyopewa....Mungu na ampe adhabu kali ya kulala kitandani kama maiti ilhali bado yuko hai....Amina!