Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

Hivi huyu nape baba yake na mama yake ni nani hasa? je amepitia malezi ya namna gani? baba na mama wameshiriki kumlea? kama sio huko amelelewaje? tusimuhukumu kwa hizi kauli zake,tuanze na uponyaji ktk mfumo wa maisha yake.
 
Hii inashangaza kweli. sikudhani kama kuna watu watakuja kuongea ka wanamkataba na mungu. mungu hataniwi anaeeza nyofoa mmoja ili liwe fundisho
 
Wameishiwa staili wanaimba tyu taarabuuuu....
 

Attachments

  • 1443450358440.jpg
    25.9 KB · Views: 534
Hawapondi ila wanadhibitisha kuwa Lowassa na ccm hakuna tofauti wote wezi, hivyo ni juu yako kuchagua Mwizi mwenye unafuu kwako.

Bora mwizi mmoja (kama kweli ni mwizi) kuliko pack/pride ya mijizi, yaani CCM
 
Aiseeee jamaa katoa siri ya wapinzan kutoka nje
 
Ulitegemea waongee nini ajabu wakati walishamaliza yote katika miaka zaidi ya 50 waliyokua madarakani na hakuna la maana walilotekeleza zaidi ya wizi.
 
Nape twambie kama Lowassa alikuwa mwizi ilikuwaje raisi wako akampa uwaziri Mkuu? Asilimia kubwa ya maisha ya EL ameyaishi akiwa CCM kama alikuwa mwizi kwanini hamkumfukuza? Kwanini mliendelea kumpa nafasi za juu zaidi? Nape jaribu kuwa mstaarabu unakiabisha chama.
 
Anasema Lowassa ni Mwizi, kila kitengo alichopewa aliiba, kuanzia Kwenye chama, wizarani Hadi alipokuwa waziri mkuu Lowassa ni Mwizi asilia.

Anasema yeye ndio kiboko ya Lowasa na Lowassa anamfaham vizuri tu.!

Nape ni mpumbavu tena juha la kwanza duniani. Wakati alikuw akiiba si mliomwona? Kwa nini hamkumuchukulia hatua za kisheria kama wezi wengine badala yake mkazidi kumbadilishia sekta hadi kumpa uwaziri mkuu?

Mkiambiwa ccm na serikali yake ni majizi mnakataa nini wakati mmekuwa mkipandisha vyeo na kuwafana wakku wa serikalini huku mkijua ni majizi?

NAPe ANALITHIBITISHIA TAIFA KWAMBA CCM HAINA UWEZO WALA MORAL AUTHORITY YA KUONGOZA NCHI KWA SABABU TAYARI IMESHASHINDWA KUSIMAMIA MASLAHI YA TAIFA.

AMEKIRI KWAMBA IMEKUWA IKITENGENEZA NA KUWAFUGA WEZI, NA BADALA YA KUWACHUKULIA HATUA WANABADILISHIWA VYEO NA KUPANDISHWA HADI UWAIZIRI MKUU.

HALFU MWISHO KUANZA KULALAMIKA KWA WANANCHI ETI ALIKUWA MWIZI AS IF NCHI HAINA SHERIA NA MAHAKAMA HAZIPO. WHAT A SHAME!!!!!!!!

NAPE NI MPUMBAVU NAMBARI ONE. NO WONDER LINAKWENDA KUANGUKA KWENYE UCHAGUZI.

BILA HAYA ETI LOWASAKIBOKO YAKE MIMI. WHO ARE YOU NGUCHIRO MKUBWA? UNGELIKUWA KIBOKO YAKE KWA NINI HUKUMPELEKA MAHAKAMANI ILI AHUKUMIWE NA HAKI YA WATANZANIA IPATIKANE?

PUMBAVU SANA HILI JAMAA.
 
Ngoja watukane tu.... Sisi kama kawa kutafuta kura na kumwaga sera....

Kwa mfano hapo Nape kaongea sera gani?
 
 
Last edited by a moderator:
NASEMA KWELI TANZANIA YA MAGUFULI ITAKUA YA VIWANDA nitajenga viwanda vya uvuvi pwani. Ulikua wazir wa uvuvi ulianzisha kipi zaidi ya kukamata makokoro tu?
 

Kumwita Lowassa mwizi si habari tena leo hii na CCM si watu sahihi kutoa kauli hiyo. Inaelekea itakuwa ni mchezo wa kudumu kutuletea taarifa za mtu waliyedumu naye katika nyadhfa mbalimbali chamani na serikalini kwa zaidi ya robo karne kuwa ni "fisadi sugu" manake wamejaa humo ndani. Wakigombana tu ndio tunaarifiwa rasmi. Bila shaka uchaguzi huu ni somo tosha kwa CCM kuwa nchi inabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…