Kutoka Jinja Uganda: Kilimanjaro Queens wameshinda Kombe la CECAFA kwa kuifunga Kenya 2-1

Kutoka Jinja Uganda: Kilimanjaro Queens wameshinda Kombe la CECAFA kwa kuifunga Kenya 2-1

Safi sana wadada
Yule captain kama hana mchumba nipo tayari nimuoe[emoji5]
 
Mwana sijui maana yake nini labda nikupe namba ya huyo anayetangaza atakueleza maana yake. Mie hisia zangu zilikuwa zinanituma nielewe kuwa ni kifupisho cha mmiliki wa redio ambaye ni Khamis Kagasheki.....sasa sijui kama kuna uhusiano.
asante mkuu, nimesikiliza ingawa huku zenj tulipewa za uso kwelikweli.
 
asante mkuu, nimesikiliza ingawa huku zenj tulipewa za uso kwelikweli.

Asante kwa uzalendo..............lakini kuna kashfa nimezisikia uganda kuwa kocha wenu alichukua timu yake ya academy akaileta Uganda....so ile haikuwa timu ya Taifa. Wazanzibari walioko huku Uganda walikuwa wakisema
 
safi sana itabidi nitafute mchumba ndani ya hii timu wadada wanajielewa sana hawa
 
Asante kwa uzalendo..............lakini kuna kashfa nimezisikia uganda kuwa kocha wenu alichukua timu yake ya academy akaileta Uganda....so ile haikuwa timu ya Taifa. Wazanzibari walioko huku Uganda walikuwa wakisema
Inawezekana maana timu ya wanawake huku hufanya mazoezi na hijab ndo maana aliamua kuchukua "watoto wake"
 
Asha Rashid Mwalala Captain aliyeko uwanjani anainua kombe juuuuuuuuuuuuuuuu................. Tanzaniaaaaa mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wadau asanteni na mie Kazi nimemaliza narudi Bukoba - Tanzaniaaaaaaaaaaaa, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika
 
Wadau asanteni na mie Kazi nimemaliza narudi Bukoba - Tanzaniaaaaaaaaaaaa, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika
Asante mkuu, ila wakenya wanalalamika eti wameonewa goli la pili. Wana jazba kwelikweli. Safari njema mkuu.
 
Asante mkuu, ila wakenya wanalalamika eti wameonewa goli la pili. Wana jazba kwelikweli. Safari njema mkuu.

Ahahahahahahaaaa hakuna msiba usiokuwa na sababu.......kwani wao wamefunga mangapi yakakataliwa?
 
Hongera zao nyingi sana kwa kazi nzuri waliyoifanya na kuweza kutwaa ubingwa.
 
Back
Top Bottom