Kutoka Jinja Uganda: Kilimanjaro Queens wameshinda Kombe la CECAFA kwa kuifunga Kenya 2-1

Kutoka Jinja Uganda: Kilimanjaro Queens wameshinda Kombe la CECAFA kwa kuifunga Kenya 2-1

Hahaha Moderator, hata mie mmenirushia breaking news za Ushindi wa Taifa Queeens jamani mngenichunia tuuu teheteheteheteheteheteheteheteheteeeeee haya bhana
 
huu mpira wa mademu lakini wanawake hawaonekani kuwapongeza wanawake wenzao
 
Hongera Taifa Queens. Msirudi nyuma hadi mwende World Cup. Tanzania tuna uhaba wa vikombe ila akina mama wa bara wametukomboa. Big up
 
kwa nini hao wachezaji wasisajiliwe man u

ILI TUMSITIRI VUVUZELA MOUREEN
 
Ningekuwa na Mamlaka ningetuma Ndege yetu BrandNew kwenda kuwachukuwa...kwani si ina uwezo wa kutua popote..siyo lazima EBB.
 
Ningekuwa na Mamlaka ningetuma Ndege yetu BrandNew kwenda kuwachukuwa...kwani si ina uwezo wa kutua popote..siyo lazima EBB.

Wanaondoka na basi Uganda baada ya chakula na kinywaji leo Usiku......ili wapokelewe bukoba Asubuhi
 
Kilimanjaro Queens yabeba ubingwa wa mashindano ya CECAFA yaliyofanyikia nchini Uganda baada ya kuifunga Kenya 2-1.

Kilimanjaro Queens iliondoka kwa usafiri wa basi kupitia Kagera mpaka Uganda.Bila shaka sasa wametupa heshima kwa soka la Wanawake ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
image.jpeg
 
Jamal Malinzi muda wake ufike asepe.Katika kipindi chake cha uongozi,soka la bongo limepoteza sana muelekeo.
 
Magodoro tumechuwa na kikombe tumechukuwa........ Mwenyewivu ajinjonge sana🙂
 
Back
Top Bottom