barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Dah, naona Malinzi kahamia kwa madada, vidume anawapoteza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu mpira wa mademu lakini wanawake hawaonekani kuwapongeza wanawake wenzao
Kesho utasikia Kilimanjaro Queens ni ya Kenya.
Ningekuwa na Mamlaka ningetuma Ndege yetu BrandNew kwenda kuwachukuwa...kwani si ina uwezo wa kutua popote..siyo lazima EBB.
Mpira umeisha Tanzania Mabingwa