Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
- Thread starter
-
- #21
Anae tayari..ni wa kwanguSafi sana wadada
Yule captain kama hana mchumba nipo tayari nimuoe[emoji5]
Sophia Mwasikili.......mkongwe sijui kama yuko SingleSafi sana wadada
Yule captain kama hana mchumba nipo tayari nimuoe[emoji5]
asante mkuu, nimesikiliza ingawa huku zenj tulipewa za uso kwelikweli.Mwana sijui maana yake nini labda nikupe namba ya huyo anayetangaza atakueleza maana yake. Mie hisia zangu zilikuwa zinanituma nielewe kuwa ni kifupisho cha mmiliki wa redio ambaye ni Khamis Kagasheki.....sasa sijui kama kuna uhusiano.
asante mkuu, nimesikiliza ingawa huku zenj tulipewa za uso kwelikweli.
mkuu timu ina wazee ndo maana kipindi cha pili walichoka.Sophia Mwasikili.......mkongwe sijui kama yuko Single
mkuu timu ina wazee ndo maana kipindi cha pili walichoka.
Inawezekana maana timu ya wanawake huku hufanya mazoezi na hijab ndo maana aliamua kuchukua "watoto wake"Asante kwa uzalendo..............lakini kuna kashfa nimezisikia uganda kuwa kocha wenu alichukua timu yake ya academy akaileta Uganda....so ile haikuwa timu ya Taifa. Wazanzibari walioko huku Uganda walikuwa wakisema
Inawezekana maana timu ya wanawake huku hufanya mazoezi na hijab ndo maana aliamua kuchukua "watoto wake"
Asante mkuu, ila wakenya wanalalamika eti wameonewa goli la pili. Wana jazba kwelikweli. Safari njema mkuu.Wadau asanteni na mie Kazi nimemaliza narudi Bukoba - Tanzaniaaaaaaaaaaaa, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika
Asante mkuu, ila wakenya wanalalamika eti wameonewa goli la pili. Wana jazba kwelikweli. Safari njema mkuu.