Kurunzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 9,753 Reaction score 10,747 Sep 23, 2021 #1 Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,503 Reaction score 13,463 Sep 23, 2021 #2 Kurunzi said: Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini Click to expand... Ilo Bomba la mafuta wadau mahususi wako Tanga huko
Kurunzi said: Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini Click to expand... Ilo Bomba la mafuta wadau mahususi wako Tanga huko
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Sep 23, 2021 #3 Niko nje
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Sep 23, 2021 #4 Huo mrafo ni mwaka wa tano huu tunasikia kelele kuwa utazaa ajira na kufaidisha watz na blahblah nyingi sana. Binafsi nimechoka kuusikia.
Huo mrafo ni mwaka wa tano huu tunasikia kelele kuwa utazaa ajira na kufaidisha watz na blahblah nyingi sana. Binafsi nimechoka kuusikia.
F french JF-Expert Member Joined Aug 2, 2017 Posts 3,572 Reaction score 3,726 Sep 23, 2021 #5 huu mkutano mbona hawajautangaza wadau wahudhurie