Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
masuala ya kufa mimi si mungu, niambie mgombea mwenza wa CHADEMA anaelimu gani bana.Nakusikitikia sana Burn, eti mgombea mwenza, nani anataka kuongozwa na mzee ambaye anahesabu siku zake za kufa? .
Mwalimu:Na tukirud huku kusini......Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)
basi hodi baba na shikamoo pia. naomba niingie ndaniSi walisema Mwinyi amezira, leo katoka wapi tena?originally posted by jenifa
Katoka kuzimu!karudi duniani bila hodi kama wewe ulivyoingia nyumbani kwa watu bila hodi!!!!!
leo lazima mtu a-colapse tena pale stejini!!!
Mbona sasa ni hadithi tu??? mbona ni stori za kale?? naona kinyaa, anajishushia heshima yake!!!
watu ni wengi saaaana, this shows he is going to win it