Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

usiondoke msikilize mzee mwinyi, jipe moyo mbona slaa kashinda humu JF

Haswaaa! apeleke uhuni wake hukohuko kashindwa kanisa la imani moja sembuse nchi yeney maimani kibao.
ajiandaa kurudi karatu after five years
 
Yaani Mzee Mwinyi badala ya kuelezea watawakomboa vipi waTZ na umasikini yaani anaelezea upupu tuuu, sasa kweli tanzania hatuna viongozi!!!!, kumfagilia JK, siyo waTZ tunachohitaji!!!!
 
Nakusikitikia sana Burn, eti mgombea mwenza, nani anataka kuongozwa na mzee ambaye anahesabu siku zake za kufa? .
masuala ya kufa mimi si mungu, niambie mgombea mwenza wa CHADEMA anaelimu gani bana.
 
Nikilimlinganisha na mtu anayeishi na Kimada gesti (sorry), nikilinganisha na mtu anaye aliyesimamishwa na chama cha kikabila, nikiangalia shinikizo la kugombea limetoka kutuka kwa kundi fulani la dhehebu la dini, KURA yangu kwa KIKWETE kwa sababu;
1.anatoka chama kinachodumisha umoja, mshikamano, amani na utulivu wa taifa hili;
2.ametekeleza mengi ya yale aliyoahidi 2005(kejeli utakavyo lakini kweli imesimama)
3. anauzoefu wa uongozi kuliko wagombea wote.
4.ana busara, wala hadanganyi ili tu apewe kura( slaa ni muongo)
5.chini ya uongozi wake demokrasia imekuwa na amesimamia kwa dhati vita dhidi ya rushwa( bado kuna haja kuongeza kasi though)
Mwalimu:Na tukirud huku kusini......
Mwanafunzi:Mwaliimu
Mwalimu: Ehe, uliza swali lako
Mwanafunzi:Sasa kama ndo hivyo kwa nini sisi bado maskini?
Mwalimu:?\;'|;,`~***
 
Si walisema Mwinyi amezira, leo katoka wapi tena?originally posted by jenifa

Katoka kuzimu!karudi duniani bila hodi kama wewe ulivyoingia nyumbani kwa watu bila hodi!!!!!
basi hodi baba na shikamoo pia. naomba niingie ndani
 
Hotuba ya Mwinyi ni kama ile ya Julius Nyerere kule Moshi mwaka 1995, inaonekana hali si nzuri na sasa ni karata ya mwisho ya kujaribu kubadilisha mawzo ya wapiga kura
 
Ear-Ring--12697.jpg

yahaya??
 
Nilisema hapo kabla kuwa huu mpambano siyo lelemama, kuondoa chama tawala madarakani watakaoathirika ni wengi sana hasa vyeo vya wateule.
 
denja man mkaa hapa aka mkapa na yeye anaelekea kuendeleza wimbi la kutudanganya
 
[QUOTEWarioba na Mkapa watakuwa wamebembelezwa na kupigiwa magoti mpaka kufika pale. At least wamefikisha ujumbe wao kwa kukaa kimya na kujitenga na JK ili atakaposhindwa kwa kishindo, iwe aibu yake yeye, Salma na Ridhiwan.

Nimeongea na bibi yangu mida tu, ataipigia kura CHADEMA kesho -kwa mara ya kwanza kabisa]

Bibi yako kwa maana ya hawara au huyo aso na meno , pumbafu
 
eti umbea wao wa hovyo hovyo we mwache tu tukichukua nchi lazima aende kisutu akajibu tuhuma za ufisadi wa mgodi wa kiwila
 
Mbona sasa ni hadithi tu??? mbona ni stori za kale?? naona kinyaa, anajishushia heshima yake!!!
 
hivi wapo kwa ajili ya kueleza profile yake au kueleza watatusaidieje?
 
afya, elimu, barabara na ufisadi......
 
watu ni wengi saaaana, this shows he is going to win it

Wale wote wako pale kwa sh. 5000. Kesho wote watampigia Dr. Slaa.

Mimi mwenyewe nimeona wako kibao mabasi yakiwasomba. Sijui kwanini watu hawaendi wenywewe!!
mbona kwa dr. Slaa hawabebwi, wanaenda wenyewe??
kifo cha CCM is now
 
Back
Top Bottom