Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
hivi wapo kwa ajili ya kueleza profile yake au kueleza watatusaidieje?
Nothing will change!! uamuzi tulishafanya wakumpa Dr. SlaaMbona sasa ni hadithi tu??? mbona ni stori za kale?? naona kinyaa, anajishushia heshima yake!!!
mbona kwa dr. Slaa hawabebwi, wanaenda wenyewe??
Watu wamenuna utadhani wamelazimishwa
aaaaah mrembo wa hereni upooo nakuona tuu!slaa hana uwezo kuweka mafuta kwenye ilikopta yake ataweza kuwabeba wenzake, ccm imejiandaa kwa kampeni.
Mkapa anampigia debe KIAINA... Nampenda Mkapa
Kwa wale mnaoangalia tujuzeni jamani bado tu hajaanguka?
Kuonyesha kuwa CCM mambo magumu kwa mara ya kwanza Benjamin Mkapa na Joseph Warioba wameonekana jagwani leo katika kufunga kampeni za CCM.
Ja ajabu wote waliop jangwani wana sare za CCM (hakuna ambaye hana sare pale). Kama wana hakika why all this money !!!!!!!
Tunamkataa SLAA kwa ubaguzi na uchochezi, damu iliyomwagika Maswa inatosha..HATUGAWANYIKI
Hiyo watafanya watu wa nyumbani kwako tu