Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
vipi?arsenal 0 - west ham 0 half ya kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi?arsenal 0 - west ham 0 half ya kwanza.
mmh, nilishinda hapa Moro naenda zangu kupanda basi nirudi bongo, niliondoka asubuhi kuepusha msongamano na huyu mkwere!! nitakua nikicheck updates via phone, msiniangushe basi. VIVA SLAA
Lakini hana ngoma kama EVA hawala wa JK wa Arusha..
Bwabwa Burn nakusubiri pale lango la jiji Magomeni.
Mwanakijiji, wale wazee ndo wamempa jk jeuri ya kutoa mipasho leo (ambayo haikuwa na maana yoyote kwangu zaidi ya kujihami na nonsense as usual), lakini above alll leo ndo nimemaliza ile chembe ya heshima nlokuwa nimebakiza kwa Mkapa.katika hotuba yake ya mwisho amekuwa more energetic... lakini ni hotuba iliyotaka kuwadharaulisha Chadema na kuwafanya Watanzanai wakubali hali iliyopo kwa sababu wameshaizoea. Kwamba CCM ndio mmetuzoea mtuchague! Kwa kweli ujumbe ndio ulikuwa huo: Msitubadilishe ndio naona ambacho JK alitaka hasa kusema na sababu kubwa ni ile ile ya zamani "ni zimwi" lenu mlilolilozea.
Ukomo wake si leo saa sita usiku au?ssshh rais anaongea
Naweza kujua uraia wako?Tunamkataa SLAA kwa ubaguzi na uchochezi, damu iliyomwagika Maswa inatosha..HATUGAWANYIKI
Ukomo wake si leo saa sita usiku au?
Naweza kujua uraia wako?
MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amemwagiza Mkaguzi Mkazi wa Mkoa wa Pwani kuzivalia njuga tuhuma zilizotolewa na mgombea urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, dhidi ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwamba ilitumia Sh3.5 bilioni kwa ujenzi wa matundu 20 ya vyoo katika shule tano za msingi.hahahaha..juzi pia Slaa kakurukupuka na taarifa za matundu ya vyoo bila hata kuchuja karopoka.
Ahsante. Kwa kupima posts zako:Mtanzania.
Mambo waloyazungumza ni mepesi mepesi yasokuwa na tija yoyote kwa taifa hili. Wametumia mda mwingi kumsema/kuwasema wagombea na mambo yao binafsi. Yaani ilikuwa kama huku uswazi kwetu watu wanamsema 'shoga' yaoFANTA, nimekubali na nimeelewa ulichosema!!! so hakukua na haja yoyote ya kutaja mambo binafsi yamtu
Pole sana, abood leo atakuwa biz na kijani na njano, panda 'hiace'.Nipo stand ya msamvu-moro yaani mabasi ya dar hamna kabisaa, sijui ndo yaliyotumika kupeleka watu kwene kampeni za mkwere
Unaona, watu makini hufanya uchunguzi kabla hawajasema, sio addict wa sisi em kama wewe anayeropoka bila kupima.
Jifunze kuficha upumbavu wako na kuachilia hekima yako!