Kutoka Kenya: Mchakato wa wenzetu kumng'oa Naibu Rais unaumbua ubovu wa katiba yetu

Viongozi wa wetu wanaweza kushitakiwa kama waalifu wa kibinadamu..
Sema hawa vyama vya upinzani navyo havipo serious sana rasivyo kwa kilichotokea hapo nyuma tekateka na mauaji ya viongozi wa upinzani kingetosha kabisa kuwanyoosha.
Pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani kutokuwa 'seriuos' kama unavyo sema wewe; lakini hawa viongozi kuwa 'serious' kunategemea kwa sehemu kubwa sana u'serious' wanao uonyesha wananchi wenyewe.
Kama vyama vya upinzani wanaitisha maandamano kupinga maovu wananchi wanashindwa kujitokeza; hwa viongozi watakuwaje 'serious' zaidi ya walivyo sasa!

Ndiyo, mimi ninge sema vyama vya upinzani havipo 'serious' kwa kushindwa kuwa elimisha wananchi juu ya haki zao na kuwaaminisha kuwa vyama hivyo vinapambana kubadili hali mbovu iliyopo.
Hivi vyama vya upinzani vimeshindwa kabisa kuwapa imani hiyo wananchi, ndiyo sababu imekuwa vigumu wananchi kujitokeza na kushiriki kwenye mapambano.
 
Maana yake uchaguzi wa wananchi kuwachagua hao wawili ulikuwa patili?

Childish Constitution

Ina maana gani sasa ya kuwa na mgombea mwenza? Kwanini asipige kampeni President pekee yake kisha deputy president baada ya uchaguzi anateuliwa?

Zipo technicality nyingi tu zinazoonesha utoto wa kaitba ya kenya.
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.

Sahihi, Kenya wana katiba bora Africa kwa sasa, wasipovuragana watazidi kwenda mbali sana.
Africa Kusini. Hii ya Kenya ni 'copy and paste' ya wamarekani.
Hata hivyo itawafikisha mbali zaidi wakiacha matatizo yao ya ukabila nyuma.
 
Pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani kutokuwa 'seriuos' kama unavyo sema wewe; lakini hawa viongozi kuwa 'serious' kunategemea kwa sehemu kubwa sana u'serious' wanao uonyesha wananchi wenyewe.
Kama vyama vya upinzani wanaitisha maandamano kupinga maovu wananchi wanashindwa kujitokeza; hwa viongozi watakuwaje 'serious' zaidi ya walivyo sasa!

Ndiyo, mimi ninge sema vyama vya upinzani havipo 'serious' kwa kushindwa kuwa elimisha wananchi juu ya haki zao na kuwaaminisha kuwa vyama hivyo vinapambana kubadili hali mbovu iliyopo.
Hivi vyama vya upinzani vimeshindwa kabisa kuwapa imani hiyo wananchi, ndiyo sababu imekuwa vigumu wananchi kujitokeza na kushiriki kwenye mapambano.
Mfano ni mdogo tu hivi ulitegemea chama kama chadema kumsajili lowasa na kumpa nafasi ya juu kabisa ya kugombea tiketi ya urahisi 2015..?

Ile hali iliwafanya wananchi wengi waachane na kufuatilia siasa hapa bongo
 
Kwa hiyo kumuweka rafiki yake ambaye alikuwa mwanasheria wake wakati ana kesi ICC ndio unaona ubora wa Katiba yao?

Siasa za Kenya huzijui, zinaendeshwa na Ukabila.
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.
Haki ya wananchi ya kuchagua ipo wapi? Hii hapa ndiyo ilikuwa sample ya ballot papper ya uchaguzi wao 2022.

Kama wanataka kumpiha chini Deputy President lazima na rais apigwe chini na uchaguzi uitishwe upya.

1729272878359.png
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.
Ndio mambo akina Mbowe na wengine wanapigania lakini watu hawaelewi.
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.
Katiba ya Kenya inaondoa madaraka ya Urais kuwa chini ya wananchi. Katiba inapoka madraka hayo na kumkabidhi Rais. Kunakuwa hakuna adabu ya uongozi.

Kama wanataka impeachment ya Deputy Presindent lazima kuwe na consequences kama mambo yanenda smooth namna hiyo maana yake hoja ya kuwa Republic inakufa, kwamba madaraka ya uongozi yapo kwa wananchi.

Kama mnampiga chini Deputy President lazima bunge livunjwe na uchaguzi mpya uitishwe.
 
Haya yatafanyika vipi wakati kuna mtu mmoja yupo juu ya Katiba yenyewe.

Sasa hivi Kenya hakuna mtu yeyote aliye juu ya katiba yao. Yeyote akiikiuka katiba hiyo inamwajibisha; kwa sababu taratibu zote za kufanya hivyio zipo wazi na taasisi zote zinazotakiwa kuhakikisha inakuwa hivyo zipo zinafanya kazi.

Sio kweli..!!

Ruto umeona alichofanya? Mahakama ilizuia motion ya impeachment ya DP Gachagua kwenye Senate sbb Gachagua aliugua ghafla, ila Ruto akalazimisha impeachment ya DP Gachagua uendelee…!!

Mahakama ikazuia pendekezo la kuteuliwa Naibu Rais Mpya Prof. Kindiki, ila Bunge la Kenya lisipitishe jina hilo, ila Bunge likapokea jina la DP mpya toka kwa Rais Ruto na kulipitisha na kuidharau mahakama kwa mara mbili mfululizo..!!

So hiyo Katiba ya Kenya unasema hakuna mtu yuko juu yake ni ipi? Huoni jinsi Rais Ruto anafanya atakavyo wala hahali Mahakama hata kidogo? Hivyo sijui nani kawaambia Katiba ya Kenya hakuna mtu yuko juu yake, kwa maneno matupu iko hivyo, ila katika utekelezaji, tumeona jinsi Rais Ruto anafanya atakavyo wala hasikilizi Mahakama hata kidogo, sbb motion yote hii kaplan Ruto..!!
 
Mfano ni mdogo tu hivi ulitegemea chama kama chadema kumsajili lowasa na kumpa nafasi ya juu kabisa ya kugombea tiketi ya urahisi 2015..?

Ile hali iliwafanya wananchi wengi waachane na kufuatilia siasa hapa bongo
Mkuu 'covid', hilo la Lowassa ni wewe na baadhi ya watu mnalipa ujiko usio stahili kabisa.
Lowassa alikuwa na sababu za kupewa nafasi hiyo wakati huo; kwa maana alionekana kuwa na nafasi nzuri ya kupata ushindi na alionekana kuwa na kundi kubwa nyuma yake.
Sasa kama CHADEMA wangepata ushindi huo juu ya mgongo wa Lowassa wakati huu tungekuwa tunazungumza mambo mengine?

Hilo la Lowassa lisiwe ndio wimbo wa kuwashutumu CHADEMA
Kuna sabau kubwa nyingine zinazo fanya wananchi wasiungane na CHADEMA kuondoa hili zimwi linalo wang'ang'ania sasa hivi, ambalo ni CCM.
 
Sio kweli..!!

Ruto umeona alichofanya? Mahakama ilizuia motion ya impeachment ya DP Gachagua kwenye Senate sbb Gachagua aliugua ghafla, ila Ruto akalazimisha impeachment ya DP Gachagua uendelee…!!

Mahakama ikazuia pendekezo la kuteuliwa Naibu Rais Mpya Prof. Kindiki, ila Bunge la Kenya lisipitishe jina hilo, ila Bunge likapokea jina la DP mpya toka kwa Rais Ruto na kulipitisha na kuidharau mahakama kwa mara mbili mfululizo..!!

So hiyo Katiba ya Kenya unasema hakuna mtu yuko juu yake ni ipi? Huoni jinsi Rais Ruto anafanya atakavyo wala hahali Mahakama hata kidogo? Hivyo sijui nani kawaambia Katiba ya Kenya hakuna mtu yuko juu yake, kwa maneno matupu iko hivyo, ila katika utekelezaji, tumeona jinsi Rais Ruto anafanya atakavyo wala hasikilizi Mahakama hata kidogo, sbb motion yote hii kaplan Ruto..!!
Kinachowasumbua wakenya ni siasa za visasi na mihemko. Wamekosa ustahimilivu wa kisiasa. Na ugonjwa huo utawala mpaka basi wasipo tafuta permanent solution.
 
Mkuu 'covid', hilo la Lowassa ni wewe na baadhi ya watu mnalipa ujiko usio stahili kabisa.
Lowassa alikuwa na sababu za kupewa nafasi hiyo wakati huo; kwa maana alionekana kuwa na nafasi nzuri ya kupata ushindi na alionekana kuwa na kundi kubwa nyuma yake.
Sasa kama CHADEMA wangepata ushindi huo juu ya mgongo wa Lowassa wakati huu tungekuwa tunazungumza mambo mengine?

Hilo la Lowassa lisiwe ndio wimbo wa kuwashutumu CHADEMA
Kuna sabau kubwa nyingine zinazo fanya wananchi wasiungane na CHADEMA kuondoa hili zimwi linalo wang'ang'ania sasa hivi, ambalo ni CCM.
Kwanini isiwe wimbo wa kuwashutumu? Hujatoa sababu.
 
Ruto umeona alichofanya? Mahakama ilizuia motion ya impeachment ya DP Gachagua kwenye Senate sbb Gachagua aliugua ghafla, ila Ruto akalazimisha impeachment ya DP Gachagua uendelee…!!
Hili wewe na mimi hatujui; kwa sababu Bunge la Kenya linayo madaraka kamili, hali amrishwi na rais.
Kama Ruto katumia 'influence' yake kwa baadhi ya wabunge/senators' ili wahimize bunge liendelee na impeachment (kwa kura); hiyo ni tofauti na Ruto moja kwa moja kuamru bunge lifanye kinyume na taratibu kwa matakwa ya Ruto.
Kuna tofauti kubwa sana hapo.

Lakini pamoja na hayo; hili jambo halijaisha, bado kuna mahakama inalitazama.
Hata kama siyo kumrudisha Gachagua kwenye umakamu; lakini mahakama itaangalia uhalali wa kuondoshwa kwake.

Tusiwe washabiki tu wa mfumo kwa vile tunafaidika nao na kusahau maslahi mapana ya nchi.
 
Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi.

Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi wananchi walioridhishwa na wewe wakakupigia kura kama ulivyo kama mwakilishi wao sahihi, hawana cha kufanya ili kukupata tena wewe kama mwakilishi wao.

Kwa Kenya haipo hivyo katiba inalinda sana uamuzi wa wananchi.
Tz katiba ni ya kipuuuzi sana! Na chanzo ni Nyerere! Nchi nyingi kusini mwa Afrika rais akifa madarakani ni siku 90 uchaguzi unafanyika! Hapa ni uchawa wa kipumbavu sana! Mitano tena shenzi type!
 
Kwanini isiwe wimbo wa kuwashutumu? Hujatoa sababu.
Mkuu 'Venus', nimekwisha soma mabandiko yako kadhaa hapo juu. Sidhani kuwa nitakuwa na uwezo wa kukujibu wewe swali lako hili. Kuniradhi sana.
 
So hiyo Katiba ya Kenya unasema hakuna mtu yuko juu yake ni ipi? Huoni jinsi Rais Ruto anafanya atakavyo wala hahali Mahakama hata kidogo? Hivyo sijui nani kawaambia Katiba ya Kenya hakuna mtu yuko juu yake, kwa maneno matupu iko hivyo, ila katika utekelezaji, tumeona jinsi Rais Ruto anafanya atakavyo wala hasikilizi Mahakama hata kidogo, sbb motion yote hii kaplan Ruto..!!
Naelewa ulivyo pofushwa na uchawa, kiasi kwamba akili haina uwezo wa kutazama mambo mengine kwa utashi. Katiba ya Kenya sasa hivi inafanya kazi vizuri zaidi; hakuna mahali popote unapoweza kuilinganisha na haya ya kwetu.

Hakuna anaye sema katiba hiyo ni kamilifu; na hata katika utekelezaji wake kunawezekana bado kukawa na hitilafu; lakini ni tofauti kubwa mno iliyopo kati yao na sisi.
Sina maslahi yoyote na Kenya, na mara nyingi huwa sioni cha kuiga toka huko. Lakini katika hatua walizo fikia kwenye maswala haya ya kuheshimu katiba na kuruhusu katiba ionekane kufanya kazi; utakuwa ni kipofu kama huwezi kuona tofauti kubwa iliyopo kati yao na sisi.
 
Kenya Has Childish Constitution Ujinga ujinga mwingi

How can you impeach the Deputy President who was elected together with the President and then the President remains in power? That is a very childish Constitution.
Kwa hiyo ulitaka rais aondolewe kwa makosa ya makamu wake kivipi?
 
Halafu hapa wapuuzi unakuta wanasifi
Maana yake uchaguzi wa wananchi kuwachagua hao wawili ulikuwa patili?

Childish Constitution

Ina maana gani sasa ya kuwa na mgombea mwenza? Kwanini asipige kampeni President pekee yake kisha deputy president baada ya uchaguzi anateuliwa?

Zipo technicality nyingi tu zinazoonesha utoto wa kaitba ya kenya.
Katiba ya Kenya ni ya hovyo hakuna mfano
 
Kwa hiyo ulitaka rais aondolewe kwa makosa ya makamu wake kivipi?
Rais kaundiwa makosa ndio maana hata aliepelek hoja bungeni alishindwa kabisa kutetea alichakuwa amemtuhumu DP,sema bumge la Kenya ni mhuri tu wa Ruto
 
Back
Top Bottom