Naelewa ulivyo pofushwa na uchawa, kiasi kwamba akili haina uwezo wa kutazama mambo mengine kwa utashi. Katiba ya Kenya sasa hivi inafanya kazi vizuri zaidi; hakuna mahali popote unapoweza kuilinganisha na haya ya kwetu.
Hakuna anaye sema katiba hiyo ni kamilifu; na hata katika utekelezaji wake kunawezekana bado kukawa na hitilafu; lakini ni tofauti kubwa mno iliyopo kati yao na sisi.
Sina maslahi yoyote na Kenya, na mara nyingi huwa sioni cha kuiga toka huko. Lakini katika hatua walizo fikia kwenye maswala haya ya kuheshimu katiba na kuruhusu katiba ionekane kufanya kazi; utakuwa ni kipofu kama huwezi kuona tofauti kubwa iliyopo kati yao na sisi.
Hivi unaongea theoretically tu, unaijua Kenya wewe? Umefika? Wewe umekuwa kunguni kabisa, hopeless, unaongea online tu, real life in Kenya unaijua? Hiyo Katiba yao unayoisifia imewasaidia kuwapa maisha bora? Wewe nikikupeleka Kenya kuishi utarudi hata wiki humalizi, hali yao ni mbaya sana, kama hujui sbb wewe kazi yako kusoma online tu, Kenya unayosifia ndio namba moja kwa Rushwa kubwa kubwa sanaaa, in Africa, Kenya Corruption is within top 5..!!
Pia maisha halisi ya wananchi wao ni magumu mnoo, hiyo Katiba unaisifia unajua Kenya hata ardhi yote imechukuliwa na matajiri, maskini hawana ardhi, hiyo ndio Katiba unayoisifia?
Tatizo lako huna kabisa uhalisia wa nchi hata za jirani, meaning unasifia tu nchi za jirani kuona mambo yao mazuri kumbe hujawahi hata kufika na kujua maisha yao, kazi yako wewe ni kupinga pinga mambo bila kujua ukweli halisi, sbb uko Tanzania, nyumbani kwako, unaona almost kila kitu hakina maana, na hii ndio tabia mbaya sana, kwani vya nyumbani kwenu unadharau sana unaona vya watu vina maana, na ukifanya hiyo tabia yako kwenye maisha yako ya nyumbani kwako, utaharibikiwa kabisa, kwani huoni thamani ya vitu vyako au vya nyumbani kwako ila vya watu unaona vina thamani sana, hiyo ni akili ndogo sana..!!
Huna maana, nakupuuza sana