Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,252
- 4,839
Mzee wangu nahisi kuna harufu ya hujuma kabisaa mbaya zaidi trafic hawataki mtu uovertake aiseeeUjenzi wa kusuasua daraja la Ruvu
Wingi was mmagari
Wembamba wa barabara
Acha kuleta njaa zako kwenye mijadala inayohutaji majibu ya kina watu wanaumia wewe umetanguliza njaaaKibaha Mji kwa sasa ni Manispaa kuanzia Juni 2025
Chalinze ni Mji unaokuwa kwa kasi na watu wanaongezeka sana.
Magari yanaongezeka sana.
Ardhi sasa hivi inapanda bei.
👇
Kuna MASHAMBA Vigwaza-Buyuni, Chalinze, karibu na Buyuni Centre.
Umiliki ni uhakika: yanamilikiwa kihalali na yana Hati ya Serikali ya Kijiji cha Buyuni.
Umbali: km 10 toka Morogoro Road, na km 1 toka Centre ya Buyuni
Huduma za kijamii; shule, maji, umeme, na maduka zipo karibu.
Ni upande wa kulia kama unatokea Dar es Salaam kwenda Chalinze.
Mashamba yanafaa kwa kilimo, mifugo na makazi.
Mazao kama mbaazi, nanasi, mihogo, mahindi, migomba, korosho yanastawi sana.
Vigwaza ipo katikati ya Ruvu na Chalinze
Bei ya shamba ni milioni 2 kwa heka moja.
Zimebaki heka chache.
Maongezi yapo
Simu: 0781 694 294
Yaani nimetoka saa 3 Mbezi beach mpka mda huu ndio napita RuvuHaya yote ni CCM kiongozi. Wameshindwa kuwatumikia watanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
Ukweli nimekerwa leo hatuna viongozi nchi hiiMaroli jau sana
Hii kitu ni mpka chalinze kabisaaKuna Ujenzi Unaendelea Ruvu Darajani
Kama una private bora kuzungusha B’Moyo.Ukweli nimekerwa leo hatuna viongozi nchi hii
Nilishauriwa hivyo ila nikaona ni mapema mno ngoja nijaribuKama una private bora kuzungusha B’Moyo.
AIsee najutaKwasasa ukiwaza safari bora upite njia ya bagamoyo ukatokee msoga jana nilikaa foleni masaa mawili na nusu na hapo nilikuwa gogoni naitafuta picha ya ndege
Hiyo njia lazima niicheki Google Map kwanza kabla sijatoka.Nilishauriwa hivyo ila nikaona ni mapema mno ngoja nijaribu
Ukitanua tuu ni 10 au 30Mzee wangu nahisi kuna harufu ya hujuma kabisaa mbaya zaidi trafic hawataki mtu uovertake aiseee
Na Mpaka Tukome.......Hii kitu ni mpka chalinze kabisaa
Yaan ni balaa mpka akili imechoka na ninapoenda nimepewa ratiba ngumuHiyo njia lazima niicheki Google Map kwanza kabla sijatoka.