Kutoka kibaha hadi Chalinze kuna nini kwenye njia hii ?

Kutoka kibaha hadi Chalinze kuna nini kwenye njia hii ?

Hii ni kwenda tu au mpaka na kurudi ?

, dar shida haziwezi kwisha
 
Kama una kusafiri binafsi na unatokea Dar kwenda Moro bora upite njia ya bagamoyo halafu urudi chalinze tena. Ni usumbufu na kuzunguka ila utaokoa muda.
 
Kibaha Mji kwa sasa ni Manispaa kuanzia Juni 2025

Chalinze ni Mji unaokuwa kwa kasi na watu wanaongezeka sana.

Magari yanaongezeka sana.

Ardhi sasa hivi inapanda bei.

👇


Kuna MASHAMBA Vigwaza-Buyuni, Chalinze, karibu na Buyuni Centre.

Umiliki ni uhakika: yanamilikiwa kihalali na yana Hati ya Serikali ya Kijiji cha Buyuni.


Umbali: km 10 toka Morogoro Road, na km 1 toka Centre ya Buyuni

Huduma za kijamii; shule, maji, umeme, na maduka zipo karibu.

Ni upande wa kulia kama unatokea Dar es Salaam kwenda Chalinze.

Mashamba yanafaa kwa kilimo, mifugo na makazi.

Mazao kama mbaazi, nanasi, mihogo, mahindi, migomba, korosho yanastawi sana.

Vigwaza ipo katikati ya Ruvu na Chalinze

Bei ya shamba ni milioni 2 kwa heka moja.

Zimebaki heka chache.

Maongezi yapo

Simu: 0781 694 294
Au sio
Acha utapeli
 
Kama una private bora kuzungusha B’Moyo.
Kuna barabara kutoka Kibaha hadi Baobab hapo mwanzo wa Bagamoyo. Barabara ingine kutoka Mlandizi hadi mizani pale Bagamoyo. Hizo zikitengenezwa kiwango cha lami hata watu wakimwama hapo Morogoro road wanaweza kuchepukia huko.
 
Haya yote ni CCM kiongozi. Wameshindwa kuwatumikia watanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
Wananchi wameshindwa kuiwajibisha serikali badala yake wamekalia kusikiliza umbea wa Mange na Polepole.
 
Katika safari ngumu kwangu ni Morogoro to Dar es salaam, hapo katikati ikitokea ajali kila kitu kinagoma hata masaa 6
 
Back
Top Bottom