Kutoka kibaha hadi Chalinze kuna nini kwenye njia hii ?

Hii ni kwenda tu au mpaka na kurudi ?

, dar shida haziwezi kwisha
 
Kama una kusafiri binafsi na unatokea Dar kwenda Moro bora upite njia ya bagamoyo halafu urudi chalinze tena. Ni usumbufu na kuzunguka ila utaokoa muda.
 
Au sio
Acha utapeli
 
Kama una private bora kuzungusha B’Moyo.
Kuna barabara kutoka Kibaha hadi Baobab hapo mwanzo wa Bagamoyo. Barabara ingine kutoka Mlandizi hadi mizani pale Bagamoyo. Hizo zikitengenezwa kiwango cha lami hata watu wakimwama hapo Morogoro road wanaweza kuchepukia huko.
 
Haya yote ni CCM kiongozi. Wameshindwa kuwatumikia watanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
Wananchi wameshindwa kuiwajibisha serikali badala yake wamekalia kusikiliza umbea wa Mange na Polepole.
 
Katika safari ngumu kwangu ni Morogoro to Dar es salaam, hapo katikati ikitokea ajali kila kitu kinagoma hata masaa 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…