Kutoka kibaha hadi Chalinze kuna nini kwenye njia hii ?

Kwa sasa zipo kama hazipo na mie ndio sina uenyeji na njia hizo basi nakoma
 
Acha kuleta njaa zako kwenye mijadala inayohutaji majibu ya kina watu wanaumia wewe umetanguliza njaaa
Nimekuambia sijala au ni makasiriko ya kukosa lishe?

Foleni ni kitu cha kawaida Afrika Mashariki
 
Juzi nilipita huko hadi nikaanzisha uzi traffic alert hali ilikuwa mbaya kibaha chalinze masaa 4 , kesho tena napita sijui itakuwaje aisee
 
Juzi nilipita huko hadi nikaanzisha uzi traffic alert hali ilikuwa mbaya kibaha chalinze masaa 4 , kesho tena napita sijui itakuwaje aisee
Hiyo njia nilikoma mkuu now nipo na adhabu kisa kuchelewa kikao🥲🥲
 
Ujenzi wa kusuasua daraja la Ruvu
Wingi was mmagari
Wembamba wa barabara

Tuliambiwa PPP inajenga njia sita mpaka huko. PPP ambayo sijui nani anayesubiriwa.

When I learn these cases, I always remember the late JPM. Hakuwa mtu wa hadithi hadithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…