Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 2,252
- 4,839
- Thread starter
-
- #61
PPP ni ngonjera za Tumbili hana lolote yule na matapeli wenzake tuTuliambiwa PPP inajenga njia sita mpaka huko. PPP ambayo sijui nani anayesubiriwa.
When I learn these cases, I always remember the late JPM. Hakuwa mtu wa hadithi hadithi
Kumekucha 2MKibaha Mji kwa sasa ni Manispaa kuanzia Juni 2025
Chalinze ni Mji unaokuwa kwa kasi na watu wanaongezeka sana.
Magari yanaongezeka sana.
Ardhi sasa hivi inapanda bei.
👇
Kuna MASHAMBA Vigwaza-Buyuni, Chalinze, karibu na Buyuni Centre.
Umiliki ni uhakika: yanamilikiwa kihalali na yana Hati ya Serikali ya Kijiji cha Buyuni.
Umbali: km 10 toka Morogoro Road, na km 1 toka Centre ya Buyuni
Huduma za kijamii; shule, maji, umeme, na maduka zipo karibu.
Ni upande wa kulia kama unatokea Dar es Salaam kwenda Chalinze.
Mashamba yanafaa kwa kilimo, mifugo na makazi.
Mazao kama mbaazi, nanasi, mihogo, mahindi, migomba, korosho yanastawi sana.
Vigwaza ipo katikati ya Ruvu na Chalinze
Bei ya shamba ni milioni 2 kwa heka moja.
Zimebaki heka chache.
Maongezi yapo
Simu: 0781 694 294
Hela za ujenzi wa barabara Mama yenu alishakula na mwanaye pamoja na CCM mtandao, kila kitu kwa sasa kina suasua.Wakuu nipo safarini napita njia hii morogoro road kutoka kibaha mpaka Ruvu darajani hapaeleweki na hili sio leo imekuwa sugu wenye mamlaka mtuambie shida ni nini?
Hata mkituambia ni wingi wa malori bado siwezi kuamini kama ni kweli Trafic kila baada ya hatua kumi wanafanya nini wananchi tunateseka namna hii?
Mkuu huyo tapel sio mama yangu labda mama yake na GENTAMYCINE atueleze yeye na mama yake hela zipo wapi?Hela za ujenzi wa barabara Mama yenu alishakula na mwanaye pamoja na CCM mtandao, kila kitu kwa sasa kina suasua.
NaaamKumekucha 2M
Acha watu wafanye kaziWakuu nipo safarini napita njia hii morogoro road kutoka kibaha mpaka Ruvu darajani hapaeleweki na hili sio leo imekuwa sugu wenye mamlaka mtuambie shida ni nini?
Hata mkituambia ni wingi wa malori bado siwezi kuamini kama ni kweli Trafic kila baada ya hatua kumi wanafanya nini wananchi tunateseka namna hii?
Msimu wa mavuno,kula kwa urefu wa kamba pameshika kasi.Wakuu nipo safarini napita njia hii morogoro road kutoka kibaha mpaka Ruvu darajani hapaeleweki na hili sio leo imekuwa sugu wenye mamlaka mtuambie shida ni nini?
Hata mkituambia ni wingi wa malori bado siwezi kuamini kama ni kweli Trafic kila baada ya hatua kumi wanafanya nini wananchi tunateseka namna hii?
Kwakweli ngoja wale kwa urefu wa kamba zao maana wamepewa uhuruMsimu wa mavuno,kula kwa urefu wa kamba pameshika kasi.
Kwani nimewazuia mkuuAcha watu wafanye kazi
Nimerudi leo tena naona yale yale tu sijui shida ni nini hapa nipo naitafuta goms napo changamotoKama jumapili 2 zilizopita hiyo barabara ilikuwa na foleni moja mbaya sana kutoka Dar kuelekea Chalinze na vice versa maeneo ya Vigwaza, Ruvu hadi Mlandizi, Kongowe, Kwa Matias
Wao sasa hivi ni kuiba tu hawana mpango na kumboreshea mtanzania mazingira rahisi ya utafutajiWenye mamlaka ni kina nani? Looks like hii barabara haina mhusika.
Tunakaaga foleni masaa 9 kutoka Kibaha mpaka Chalinze kilomita 89 tu, that is km 10 kwa saa and nobody cares.
Hivi kuna anayejua kuna mpango gani kuhusu hii barabara ?
Hivi seeikali inajua kwamba hii ndio barabara iliyo bize na muhimu kuliko zote Tanzania???
No reform no election