Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Toa ushahidi badala ya ubabaishaji kuwa umesoma. Kwani, ukisoma unamsomea nani? Kwani Kabendera hawezi kudanganya au kutunga stori kama shigongo? Kwanini wangoje Jiwe atoweke ndiiyo waje kutuletea umbea? Si alikuwa nje si angeandika tu.
 
Katika madai yote aliyoandika ametoa rejea za vyanzo vyake au yeye mwenye ndiye chanzo? Mtu mwenye akili husoma vitabu vyeney kufahamisha ukweli na kuelimisha.

Kwa dai hili, inabidi benki iliyokuwa inashughulikia miamala hiyo na Dewji mwenyewe ndio wathibitishe; kwa mfano aonyeshe kopi za miamala na nakala ya mahojiano aliyofanya na Dewji au na afisa wa benki husika. Vinginevyo atakuwa anchangia kudidimiza taifa kwa kueneza hearsays na conspiracy theories, vitu ambavyo havimwelimishi msomaji wake.
 
Inakusaidia nini ukishaweka idadi ya watoto wake?

Acha shobo Nyambafu.
 
Siungani na kitabu cha Kabendera ila bora Magufuli alivyokufa huyo mzee alikuwa wa hovyo sana
 
Tuondokane na mfumo CCM kwani na huyu dadake Jiwe naye hakuna kitu.
 
Unadhani kwanini majambazi licha yakuwa na silaha nzito lkn wanatembea na pikikipiki huku wakiwa wameficha uso? Hakuna binaadam ambae sio moga ????
 
Kinapatikana wapi na bei gani?
 
Binaadam wote duniani woga , hio sifa kuu ya binaadam
 
Naam Naam hakika.
Wanajulikana !
Wazuri hawafi gang na mabeberu wao wa Madini !

Hofu yao ni kwamba ile misimamo yake kuhusu mali Asili za Nchi kupigwa bure bure tu imeanza kuziamsha Nchi za Afrika !

Akina Adam Traore wameanza kuuliza ni kwanini Bara la Africa liwe masikini kuliko mabara yote Duniani ilihali kila kitu kipo hapa Barani ??!!!!!!!!!!!!!! πŸ˜³πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…