Fred ni nani!fred alipigwa risasi na mlinzi wake akiwa camp, m7 akatuma binamu yake kumchukua hyo mlinz ili apelekwe ug kwa mahojiano zaid, wakiwa mpakan mwa rwanda na ug mlinzi akapigwa risas akafa, mpaka leo ukihoji kifo cha fred unawekwa sehemu salama fasta.
Huyu mtu alikuwa hatari sana na alifanya maovu mengi mno!Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi!
Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda.
Hovyo kabisa
Ishu sio kuwa na hela bali kupata ruhusa.Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
Na wewe ni assassin kama babako Magufuli.Kama mtu unaweza kununua kitabu cha Yerico Nyerere, ccm inahitaji mtutu wa bunduki wa nini kuendelea kubaki madarakani?
Kama una akili za kununua kitabu cha Yerico basi ccm hawana sababu ya kutafta mtutu, hata manati haihitajiki, labda makofi.
Si mlisema JK alikuwa anacheka Cheka mnataka chuma,haya kula Chuka hiko 😂😂###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Niugue mwenyewe harafu mpuuzi mmja anizuie? Hii hapanaMagufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Huyo Yerico aliyetuambia makomandoo wawili wa JWTZ walienda kimyakimya kuichukua rada ya Burundi na kuileta ikulu alafu Mwinyi akampigia simu Buyoya na kumwambia shka adabu nina rada yako.Kama mtu unaweza kununua kitabu cha Yerico Nyerere, ccm inahitaji mtutu wa bunduki wa nini kuendelea kubaki madarakani?
Kama una akili za kununua kitabu cha Yerico basi ccm hawana sababu ya kutafta mtutu, hata manati haihitajiki, labda makofi.
Passport yako ndio kibali cha kusafiri nje lakini hata ukiwa nayo waweza kupigwa stop na mamlaka usitoke.Kama alikuwa na uwezo wa kugharamia matibabu binafsi kibali cha kutoka nje ya nchi kilihitajika kwa minajili gani?
Mbona mimi nilikuwa nasafiri nje ya nchi bila kuomba kibali toka kwa yeyote yule. Sembuse Rais Mkapa na connections zote alizonazo?
Make it make sense.
Mkapa hakuwa na uwezo wa kwenda Hapo SA mwenyewe? Hizi story zingine za kijinga sana.
Hizi story zimekaa kitoto toto natilia shaka utimamu wa akili ya mwandishi.
Yapo manyumbu mengi tu, hii inadhihirisha jinsi Gani baadhi( wengi) ya watanzania akili ndogo sana.
You can fool them the way you want just to fulfill their egos.
Uungwaji mkono wa kitabu hiki Cha upotoshaji unafanywa zaidi na wenye chuki na huyo mwendazake.
Exactly!
Hata mimi wala simtetei Magufuli.
Ila mtu akija na stori zake akiniambia Magufuli alifanya hivi au vile, nikiona simulizi yake haiingii akilini, nitahoji mpaka pale utaponishawishi zaidi.
Hapa umejibu nini ? Kipi ni hatari zaidi? Kumteka mtu ili utembee nae kila jioni kwa kuwapigia watu simu ili wakae overtime ili uchukue pesa (as if hizo pesa ni kama pilau mnakenda kuipika kwenye hio benki), kumbuka kwa kufanya hivyo unaongeza uwezekano wa leakage hakuna siri ya watu wawili Au kutumia uwezo wako (power) na madudu ya mtu (mfanyabiashara hayakosekani) na kumshikiza (kufreeze akaunti) kwamba atoe kiasi fulani apeleke sehemu fulani au mtu fulani atakuja ampe kiasi fulani ?Unadhani kwanini majambazi licha yakuwa na silaha nzito lkn wanatembea na pikikipiki huku wakiwa wameficha uso? Hakuna binaadam ambae sio moga
????
hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho, hakuna marefu yasiyo na ncha, CCM ina mwisho wake, ila huo mwisho utakuwa ni bonge moja la simulizi la kusimuliwa miaka ya 2100 na 2200 hukoWatanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Na kanga moko..!!!Mo alimshukuru raisi magufuli kwa kupatikana akiwa salama😀
Acha upotoshaji wa kijinga, ccm haiko madarakani kwa ridhaa ya wananchi, bali iko kwa mbeleko ya vyombo vya dola.Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Ni cha kiingereza boss, subiri atakitoa kwa kiswahili.hebu leteni pdf ya hicho kitabu tusome na wengine
Fanya utafiti wako bado MO yupo hai halafu uje na hoja kukipinga hoja za kitabuHapa umejibu nini ? Kipi ni hatari zaidi? Kumteka mtu ili utembee nae kila jioni kwa kuwapigia watu simu ili wakae overtime ili uchukue pesa (as if hizo pesa ni kama pilau mnakenda kuipika kwenye hio benki), kumbuka kwa kufanya hivyo unaongeza uwezekano wa leakage hakuna siri ya watu wawili Au kutumia uwezo wako (power) na madudu ya mtu (mfanyabiashara hayakosekani) na kumshikiza (kufreeze akaunti) kwamba atoe kiasi fulani apeleke sehemu fulani au mtu fulani atakuja ampe kiasi fulani ?