Wakudadisi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 626
- 528
Sasa Historia ya Tz huko mashuleni ina umuhimu gani. Yani mwanafunzi anamaliza chuo kikuu lakini bado anakaririshwa kuwa TANZANIA ilipata uhuru mwaka 1961 (rejea sherehe za uhuru TANZANIA)
Du wewe nawe!Tuanatakiwa tutambue kuwa hakuna kifo kilikuwa cha ghafla kama cha Mkapa hata Magu mwenyewe alipatwa na mfadhaiko mkubwa sana.
Lakini pia hiyo ilikuwa ni trend ya kupelekea kifo chake mwenyewe, wazito wengi wa karibu na Magu walipotezwa kwanza ili kukifanya kifo kwa wakubwa kionekane cha kawaida kwa watanzania ili hata watakapomu eliminate yeye watu wasijoji sana na bahati nzuri kina Tumiakili walishaandika before atakuwa eliminated.
Na kajamaa kalikosuka mipango hii kapo kanatabasamu tu kametulizana kuleee kenyewe hata hakaguswi.
Kwahiyo hivi vitabu ni mwendelezo wa kumfanya Magu aonekane alikuwa wa hovyo sana maana wakijilinganisha kazi aliyoipiga kwa miaka michache na kazi walioifanya wao kwa miaka mingi wanaonekana hawajafanya kitu ndiyo maana inafikia hatua wadhamini watu wamwandike vibaya ili achukiwe na watu lakini bado wanaangukia pua. Walianza na kumtenbeza nchi nzima baada ya kufariki wakitegemea watu watazomea na kufurahia sana kifo chake mayokeo yake watu wakaupokea msiba kwa simanzi kubwa na kutandikiwa kanga na majani ishara ya ushindi kila alikopita, mradi wao ukafeli vibaya sana baada ya hapo zikafuata drama za kutosha kuonekana Magu atapotea lakini ndo kwanza jina linazidi kutajwa kuliko hata bibi aliyeko magogoni leo.
Naamini kuna mengine mengi yataandikwa na kusemwa juu ya ubaya wa mwamba lakini kazi alizozifanya zinamtetea kwa kiwango kikubwa. Na pia kile kitabu cha profesa wa kizambia vitakuja kusimama kama ishara ya ushindi kwa vizazi vijavyo.
Kuna utekaji mwingine ulifanywa na magenge ya kihalifu ya wabaya wa Magu ili kuondoa itulivu nchini na aonekane nchi imemshinda na sababu yao ya kumu eliminate iungwe mkono na wana dip state wengine lakini ukweli pamoja na ukali na ukatili unaosemwa Magu alikuwa na huruma sana.
Kirusi cha taifa hili kipo kimetulizana tu na siku kikiondoka nadhani ndiyo taifa litaanza kufuata misingi ya uwajibikaji na kulinda tasilimali za taifa ili zitumike kwa manufaa ya wote.
Duuuhh.....Mimi nimechoka hapo baada ya kifo cha Magufuli, Kulikuwa na 50Kgs za dhahabu hapo Ikulu,
Ikabidi zisafirishwe kwenda Chato na baadhi ya maafisa, Kule kulikuwa na strong room iliyokutwa pia mahela kibao.
Jamaa waliosafirisha mzigo, baada ya kukabidhi wakiwa wanarudi Dar wakapata ajali wakafa, taarifa ikatoka walikuwa wamelewa.
Mke wa mmoja wao akakana mumewe hajawahi kunywa pombe huo ulevi kaanza lini?.
Mambo yakaishia hapo
Dunia imebeba mengi sana.
Vibali vya matibabu vya viongozi anatoa raisi mkuu,Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
mtuwekee hicho kitabu na muvi yake###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Angalizo zuri na makiniSasa hapo mpaka umteke ili atoe pesa ? (Yaani uongeze risks involved) Huwezi kutuma wadau tu na kumtisha asaidie hiki au kile ama sivyo ataona cha mtema kuni au deal zake ambazo hazijakaa sawa utazizima ? Hakuna kitu ambacho Serikali haiwezi kufanya tena mara nyingi kwa kupitia legal loopholes let alone kona kona za kusadikika..., Which makes me wonder huenda hii ni mbinu ya waliopo sasa kuonesha waliopita walikuwa wabaya zaidi ili wao waonekane wana nafuu (ingawa hawa wa leo ndio walewale wa jana)
The Decoy Strategy - Ujanja wa Wanasiasa
Nimeona niliseme hili sababu nadhani wanasiasa wa sasa wanatumia hii mbinu; Wanakuja na Vitu vya ajabu ambavyo wanajua watu watakataa au kupiga kelele alafu wanaviondoa vile vitu kuonyesha kwamba wanajali kumbe chini ya kapeti wanapitisha vile vya ajabu vingine ambavyo vilikuwa na afadhali...www.jamiiforums.com
UONGO MWINGINE HAUNA HATA MAANA YAANI MKAPA ALIKUWA HANA HELA YA KUWEZA KUMPELEKA KUTIBIWA HAPO SOUTH AFRICA TU? PIMENI NA UONGO WA KUSEMAMagufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa β’β’IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Si walisema watawarudishia?###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Dah!...Magufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa β’β’IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Kuna wakati burden of proof ina shift kwenda kwa mlalamikiwa.Kuna kitu kinaitwa burden of proof, hii ni kanuni kwenye sheria inayotaka anaetoa tuhuma kuthibitisha hizo tuhuma na sio anaetuhumiwa.
Sasa wewe umeibua tuhuma zako huko unatakiwa ulete na ushahidi pia wa kuthibitisha hizo tuhuma ulizoziibua na sio wajibu wa unaemtuhumu. Anaetuhumiwa sio lazima ajitokeze kukana, hata akinyamaza tu ni ishara kwamba amekataa na kukana hizo tuhuma, sasa wewe unatakiwa ulete ushahidi kuthibitisha zaidi ili mtuhumiwa aonekane anakataa tu bila sababu.
Tuhuma zisizo na ushahidi ni uzushi na umbea tu kama umbea mwingine.
You're missing the point.Polisi tena?
U are kidding boss!
Toa mifano inayoendana na Ukweli basi.Sijui kama Kabendera ametolea mfano kuwa Mshikaji alikuwa anakuja anakuja kulala Mabibo Hostel kwa Sundi Malomo?!
Fred Ryigyema ni mtutsi mmoja alikuwa RPF.Fred ni nani!
Umemaliza πTuanatakiwa tutambue kuwa hakuna kifo kilikuwa cha ghafla kama cha Mkapa hata Magu mwenyewe alipatwa na mfadhaiko mkubwa sana.
Lakini pia hiyo ilikuwa ni trend ya kupelekea kifo chake mwenyewe, wazito wengi wa karibu na Magu walipotezwa kwanza ili kukifanya kifo kwa wakubwa kionekane cha kawaida kwa watanzania ili hata watakapomu eliminate yeye watu wasijoji sana na bahati nzuri kina Tumiakili walishaandika before atakuwa eliminated.
Na kajamaa kalikosuka mipango hii kapo kanatabasamu tu kametulizana kuleee kenyewe hata hakaguswi.
Kwahiyo hivi vitabu ni mwendelezo wa kumfanya Magu aonekane alikuwa wa hovyo sana maana wakijilinganisha kazi aliyoipiga kwa miaka michache na kazi walioifanya wao kwa miaka mingi wanaonekana hawajafanya kitu ndiyo maana inafikia hatua wadhamini watu wamwandike vibaya ili achukiwe na watu lakini bado wanaangukia pua. Walianza na kumtenbeza nchi nzima baada ya kufariki wakitegemea watu watazomea na kufurahia sana kifo chake mayokeo yake watu wakaupokea msiba kwa simanzi kubwa na kutandikiwa kanga na majani ishara ya ushindi kila alikopita, mradi wao ukafeli vibaya sana baada ya hapo zikafuata drama za kutosha kuonekana Magu atapotea lakini ndo kwanza jina linazidi kutajwa kuliko hata bibi aliyeko magogoni leo.
Naamini kuna mengine mengi yataandikwa na kusemwa juu ya ubaya wa mwamba lakini kazi alizozifanya zinamtetea kwa kiwango kikubwa. Na pia kile kitabu cha profesa wa kizambia vitakuja kusimama kama ishara ya ushindi kwa vizazi vijavyo.
Kuna utekaji mwingine ulifanywa na magenge ya kihalifu ya wabaya wa Magu ili kuondoa itulivu nchini na aonekane nchi imemshinda na sababu yao ya kumu eliminate iungwe mkono na wana dip state wengine lakini ukweli pamoja na ukali na ukatili unaosemwa Magu alikuwa na huruma sana.
Kirusi cha taifa hili kipo kimetulizana tu na siku kikiondoka nadhani ndiyo taifa litaanza kufuata misingi ya uwajibikaji na kulinda tasilimali za taifa ili zitumike kwa manufaa ya wote.
Mtasema sana na yataandikwa mavitabu mengi ya akina Abunuwasi lakini ukweli utabaki palepale. !Sema sisi wasukuma...
Kidogo kidogo kunapambazuka.Nyumba yenyewe ambayo akina Makonda walienda kumficha more ipo ile mtaa ukitoka science unafuata ile barabara ya Rose garden ili kwenda kutokea kwa Mwalimu. Kabla haujafika kituoni upande wa kushoto kuna barabara na bango limeandikwa Atsoko (Mikocheni). Ukiufuata ule mtaa kuna nyumba ina geti jeusi, ipo mwanzoni tu mwa mtaa mwingine...au ngoja niachie hapa
Kumbe alikuwa halipi kodi?###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###