Haha😂😂😂😂😂😂 vituko hivi hahahaBaada ya Ben Sanane kupigwa risasi Ikulu, walinzi walisikia milio ya risasi walinzi wote wakahamaki nini kimetokea, walipoulizana kwenye mawasiliano wakajibiwa kwamba kuna kichaa aliruka ukuta wa ikulu na kuingia ndaniwamemuwahi na kumpiga hizo risasi walinzi wasiwe na wasiwasi, Hii habari inakujulikana kwenye mifumo, walijua tukio la Ben lilivyotokea
Nashukuru mkuu, hapa sasa nimeelewa.Kwa sababu Mkapa alisema hadharani kwamba hatoruhusu Rais yoyote atawale zaidi ya miaka kumi yeye ( Mkapa ) akiwa hai.
Pili Mkapa alichukizwa sana jiwe alivyo iba uchaguzi wa mwaka 2020.
Jiwe akajenga jelousy
Mention her name so that we be sure that you are not talking about a ghostMama yangu ni mwalimu mstaafu, nilivyomsimulia baadhi ya tuhuma hizi aiseee alijibu ni wajinga tuu watakaoamini huu uzushi tena wa kiwango kidogo sana, mama yangu ni mwalimu mstaafu ila ana high IQ kuliko hata hawa wanaojiita great thinkers wanaoamini uongo wa wazi wazi. Kitabu kimejaa mauongo hata mtoto wa form one aliye smart kichwani hawezi kuamini
Lile tukio lilimuachia traumaMo kuhamia Dubai kumbe ni haki yake
Mfano mimi pesa zangu zilichukuliwa kwenye account na TRA wakati kesi yetu ilikuwa dhidi ya TAKUKURU.Nadhani kuna kitu zaidi Kabendera ana Conspire
Kuna drama nyingi sana zimechezwa kwenye hicho kitabu
Kwanini ulete maswali mengi wakati kuna uwezekano wa mwenyewe kutoa pesa na kuwakabidhi.Kwamba Fingerprint ya Mo ilikuwa inatakiwa kutoa hizo Pesa ? Yaani watu wenye Power ya kuteka, kufreeze akaunti na kupigia mameneja wakae mpaka jioni kutoa pesa wanashindwa kushinikiza pesa iwe transferred popote wanapotaka au wakati wowote wanaotaka ?
This is insulting our intelligence...
NonsenseMohammed Dewji hakutekwa na Makonda na TISS? Wakati mwingine tumia akili kidogo. Dewji hakukutwa hapo maeneo ya Gymkhana na zile sarakasi zote za kutekwa na kupatikana za Mambosasa? Kitabu kinasema ukweli labda sehemu ndogo ndogo tu ameweka mawazo yake. Ukweli Magufuli ndiyo amesababisha nchi yetu iwe ya ovyo, ikawekwa kwenye level ya Syria, na Somalia. Haitatokea rais wa ovyo kama Magufuli. Huyu mwingine anaweza kumpita akiendelea na mtindo wake wa kuteka na kuua.
Wajinga ndo wameaminishwa hivyoHuyu mtu alikuwa hatari sana na alifanya maovu mengi mno!
Under tyrannical rule of jpm, anything was possibleHata Mimi ambacho nahitaji ni hicho mkuu. Huwa ninalinda sana akili yangu kuchezewa kirahisi kwa stori zisizo na maana kama hizi.
Hali inavyosimuliwa utadhani ni documentary ya Adolph Hitler au Benito Mussolini.
Ni miaka michache tu nyuma hapa tulikuwepo sote hata kwenye utumishishi na hatujayaona haya yanayosemwa na mwandishi.
Nashangaa wanaoaminishwa hizi Takataka Wana akili timamu kweli?
Kwa wajinga walioaminishwa hivyoMagufuli alikua hayawani!!
Mboongoeee,bongo daslaammuuu,watalia lia lia lia,mbongo daslaalaaaam###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
So far hii ni funniest comment huu mwaka wetu m-bichiAlhamdullilah Allah umetuondolea
Kwa sababu mkapa's treatment was to be financed by the governmentOkay, hata kama walitofautiana….
Kwa nini ahitaji [Mkapa] kibali toka kwa Magufuli cha kusafiri nje ya nchi?
Au labda mimi ndo sielewi. Hivyo nieleweshe.
Kila Mtanzania aliyetaka kusafiri nje ya nchi alihitaji kibali cha Magufuli?
Ndio maana watu kama wewe mnawasapoti akina Magufuli, hata angekuwepo Idd Amin na Mobutu bila shaka mngekuwa mashabiki wao wakubwa. Unajua kwanini? Kwasababu ki-asili wewe ni mkatili na unaona watu wakatili wasiopenda haki ndio marafiki zako.putin ana shida gani mkuu ama stori za magharibu zimekudanganya
Magufuri hakupenda kabisa kusikia kuhusu covid,huenda hata hao madaktar waliokubali kuwa mkapa ana covid walifukuzwa kazMagufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Jpm hakuwa na uwezo/akili ya kufikiri hivyo. Alikuwa ni takataka nyingine iliyowahi kuishi ikuluMkapa na mstaafu yeyote yule hawajawahi kuhitaji ruhusa ya Rais kutoka nje ya nchi. Kikwete alikua na bado anaruka kila siku kwenda nje. Ruhusa zilikuwa kwa watumishi wa serikali waliopo madarakani muda huo tena senior officers. Hata mtu wa kawaida mtaani hakuhitaji ruhusa ya rais.
Pili, kitabu kinasema JPM alimnyima pesa sio ruhusa, naona unabadilisha magoli. Ndo maana nimeuliza kwa akili zenu Mkapa hana hela au connection ya kwenda kutibiwa nje wakati hadi watu wa kawaida kabisa wanaenda nje?
Let's play dumb tuamini ana watoto 27 kweli, hao watoto wapo wapi au bado anaendelea kuwaficha? Hii mbona ni ishu ndogo tu watu kujulikana au hao watoto anawajua Kabendera tu ila mtaani hakuna mtu hata mmoja anawajua. Tunawajua watoto wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK hadi wajukuu zao iwaje JPM watoto 27 wote wasijulikane?
Kuamini Mo Dewji alikua anapelekwa bank ku withdraw pesa ni uzwazwa wa kiwango cha juu. Rais mwenye mamlaka yote at his disposal hahitaji kuteka mtu ili apate hela zako. BOT, TRA, mahakama zote zipo chini yake ni call moja tu kuwaambia wafreeze accounts zako na wafanye wire transfer na watafanya hivyo in a heartbeat. Kuna kipindi accounts za watu zilikuwa frozen zaidi ya kipindi cha Magu? Kama aliweza kwa wengine nini kilimshinda kwa Mo hadi amteke? Nyie watu akili zenu sijui mmezikalia reasoning ndogo kabisa inawashinda.
Itoshe kusema Kabendera kawaona misukule na mlivyo mazwazwa mnaamini kila kitu bila reasoning yeyote ile.