Huyu juha achana nae, kama angekuwa ana chembe ya akili asome kisha atoe kasoro baada ya kuelewa. Kutukana watanzania wote kwa sababu ya upungufu wake wa akili unaonyesha upumbavu uliomjaaWewe mbona unanunua gazeti la Uhuru, nani kakukataza?
Achana na chizi wa mbutuCha Yericko Nyerere ni 140,000
Inaumaa eeh! Shujaa kuonekana mwizi na muuajiPropaganda
Sema mara mbili kaiba urais. Ni legend wako wewe uliyefunika kichwa chini usione wala kusikia.Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi!
Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda.
Hovyo kabisa
Wewe muuaji wa team ya Magufuli mtaanikwa na kila kitu kitajulikana, huyo muuaji mwenye cv za kubumba aliyemuua Ben Saanane kwa kumwambia degree za magumashi ndio mwenye high IQ?Watanzania wengi ni low IQ, Kila upepo unapovumia na wenyewe huko huko. 🙂🙂
Watanzania sisi siyo wajinga usitujumuisheHACHAFUKI HACHAFULIWI !
Tumeshakataa Watanzania wema kuburuzwa na Mafisadi na wabadhirifu wa mali za Umma !
HACHAFUKI HACHAFULIKI 🙏😳
Regasi iko pale pale hata Prof Lumumba wa Kenya anajua hivyo 🙏🙌👍
Walter Rodney alitulidha matango pori..Bora hichi kitabu au kile cha How Europe Underdevelop Africa?????
Sijui Kingereza ila nahisu hili ni tusi !Magufoooul was a thug and a dumb dickhead
Mo ni muoga !Sawa. Nini kilimshinda Mkapa kwenda SA mwenyewe? Let's play dumb tuamini JPM alimnyima fedha. Mkapa hakuhitaji ruhusa yeyote ile toka kwake.
Watoto 27 wa JPM wewe unawajua? Unamjua mtu yeyote anaewajua zaidi ya kaflag?
MO nae anaogopa kuongea 4yrs later anamuachia kaflag? Kwa akili zako fupi unaamini?
True kwa mfano hii story ni ya kisenge ila ile ya Ridhiwani ni true story na waliotoa hizo habari ni jamaa wa Usalama wenyewe.
Mkapa ili kutoka nje lazima alipaswa kuomba ruhusa sababu alikuwa bado analondwa na serikali na bado alikuwa ni mjumbe wa kamati ya ulinzi pia rais wa chuo kama sikosei ilikuwa udWatu binafsi nao walikuwa wanaomba vibali toka kwa Magufuli ili wasafiri kwenda nje ya nchi?
Mbona mimi na watu wangu tulikuwa tunasafiri bila rukhsa yotote ile toka kwa Magufuli..
Huu ni ujinga tu sasa.
Kaeni mtunge vizuri stori zenu.
Una uhakika au unahisi tu?Mkapa ili kutoka nje lazima alipaswa kuomba ruhusa sababu alikuwa bado analondwa na serikali na bado alikuwa ni mjumbe wa kamati ya ulinzi pia rais wa chuo kama sikosei ilikuwa ud
Mo hajawahi gusia hata siku moja.###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Composition ya wajumbe wa kamati ya ulinzi ya taifa unaijua mkuuUna uhakika au unahisi tu?
Sijakuuliza hicho ulichoandika.Composition ya wajumbe wa kamati ya ulinzi ya taifa unaijua mkuu
Unashindwa kujua la kuandika. Nonsense, una shida wewe.N
Nonsense
Marais wastaafu wakitaka kusafiri wanatoa taarifa kwa rais aliyepo madarakani. Serikali inatoa vibali vya kusafiri na inagharimia matibabu yao. Nina ndugu alikuwa anataka kusafiri wakati wa likizo yake, ikabidi wizara ya mambo ya nje impe kibali, kwa hiyo kwa wastaafu wakubwa serikalini kama Mkapa, Kikwete, Mwinyi na wengineo, wanapotaka kusafiri nje, serikali inagharimia security details zao. Sioni ajabu Mkapa kuzuiwa.Jpm hakuwa na uwezo/akili ya kufikiri hivyo. Alikuwa ni takataka nyingine iliyowahi kuishi ikulu
Sawa itu kiingizwe ila pale kwenye pajama pafutwe aiseeKitabu kiingizwe kwenye mitaala
Siamini kabisa Magufuli alimzuia Mkapa asisafiri.Marais wastaafu wakitaka kusafiri wanatoa taarifa kwa rais aliyepo madarakani. Serikali inatoa vibali vya kusafiri na inagharimia matibabu yao. Nina ndugu alikuwa anataka kusafiri wakati wa likizo yake, ikabidi wizara ya mambo ya nje impe kibali, kwa hiyo kwa wastaafu wakubwa serikalini kama Mkapa, Kikwete, Mwinyi na wengineo, wanapotaka kusafiri nje, serikali inagharimia security details zao. Sioni ajabu Mkapa kuzuiwa.