Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi!

Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda.
Hovyo kabisa
Sema mara mbili kaiba urais. Ni legend wako wewe uliyefunika kichwa chini usione wala kusikia.

Nani aliyemteka Ben Saanane na akina Azory Gwanda, MO, aliyemshambulia Lissu? Ukiamua kumuabudu abudu usilazimishe wenye akili timamu wawe majuha. Binadamu tumepewa akili na utashi kutofautishwa na wanyama, kwa nini alimpora Mbowe pesa na kumfungia akaunti yake?

Samia alipoingi madarakani alisema pesa za plea bargaining hazijaingia serikalini bali kwenye akaunti binafsi China, na yeye adui? Muabudu na kumuamini Muumba wako acha ujuh
 
Watanzania wengi ni low IQ, Kila upepo unapovumia na wenyewe huko huko. 🙂🙂
Wewe muuaji wa team ya Magufuli mtaanikwa na kila kitu kitajulikana, huyo muuaji mwenye cv za kubumba aliyemuua Ben Saanane kwa kumwambia degree za magumashi ndio mwenye high IQ?

Na mwenye high IQ hajitangazi mtamjua kwa matendo yake, we kilaza tu
 
Sawa. Nini kilimshinda Mkapa kwenda SA mwenyewe? Let's play dumb tuamini JPM alimnyima fedha. Mkapa hakuhitaji ruhusa yeyote ile toka kwake.

Watoto 27 wa JPM wewe unawajua? Unamjua mtu yeyote anaewajua zaidi ya kaflag?

MO nae anaogopa kuongea 4yrs later anamuachia kaflag? Kwa akili zako fupi unaamini?
Mo ni muoga !
 
Watu binafsi nao walikuwa wanaomba vibali toka kwa Magufuli ili wasafiri kwenda nje ya nchi?

Mbona mimi na watu wangu tulikuwa tunasafiri bila rukhsa yotote ile toka kwa Magufuli..

Huu ni ujinga tu sasa.

Kaeni mtunge vizuri stori zenu.
Mkapa ili kutoka nje lazima alipaswa kuomba ruhusa sababu alikuwa bado analondwa na serikali na bado alikuwa ni mjumbe wa kamati ya ulinzi pia rais wa chuo kama sikosei ilikuwa ud
 
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
Mo hajawahi gusia hata siku moja.
Uoga.
 
Jpm hakuwa na uwezo/akili ya kufikiri hivyo. Alikuwa ni takataka nyingine iliyowahi kuishi ikulu
Marais wastaafu wakitaka kusafiri wanatoa taarifa kwa rais aliyepo madarakani. Serikali inatoa vibali vya kusafiri na inagharimia matibabu yao. Nina ndugu alikuwa anataka kusafiri wakati wa likizo yake, ikabidi wizara ya mambo ya nje impe kibali, kwa hiyo kwa wastaafu wakubwa serikalini kama Mkapa, Kikwete, Mwinyi na wengineo, wanapotaka kusafiri nje, serikali inagharimia security details zao. Sioni ajabu Mkapa kuzuiwa.
 
Marais wastaafu wakitaka kusafiri wanatoa taarifa kwa rais aliyepo madarakani. Serikali inatoa vibali vya kusafiri na inagharimia matibabu yao. Nina ndugu alikuwa anataka kusafiri wakati wa likizo yake, ikabidi wizara ya mambo ya nje impe kibali, kwa hiyo kwa wastaafu wakubwa serikalini kama Mkapa, Kikwete, Mwinyi na wengineo, wanapotaka kusafiri nje, serikali inagharimia security details zao. Sioni ajabu Mkapa kuzuiwa.
Siamini kabisa Magufuli alimzuia Mkapa asisafiri.

Hakuwa mtakatifu ila hakuwa mtu mbaya kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom